Ninayo pikipiki nipm kama unahitaji
Kwa jinsi msg yake ilivyo haiko specific kama kuna ambayo tayari ameipata na anataka kuinunua. Kwa hiyo kama anataka kununua kwa MTU na sio mpya dukani jibu langu litakuwa valid. Ila kama keshaipata kwa MTU anahitaji kujiridhisha tu then apewe huo muongozo.Nadhani mtoa mada ameshapata piki piki anayoitaka na yupo tayari kuinunua....alichokuwa anauliza sio ulichojibu hapa......mtajie taratibu za kununua hiyo piki piki....akiwa na maana ya document ambazo anatakiwa apewe zitakazo mhakikishia umiliki halali wa hicho chombo.....
Kwa jinsi msg yake ilivyo haiko specific kama kuna ambayo tayari ameipata na anataka kuinunua. Kwa hiyo kama anataka kununua kwa MTU na sio mpya dukani jibu langu litakuwa valid. Ila kama keshaipata kwa MTU anahitaji kujiridhisha tu then apewe huo muongozo.
Tumezoea ukinunua kitu kwa mtu ni used na dukani ni brand new mkuu. Though wauzaji ni watuKwani dukani sio kwa mtu?
ntajuaje kama inadaiwa tra na huo mkataba nmpaka mahakamani au tunaweza kuandikisha wenyewe tuuHakikisha unapewa kadi ya piki piki, kadi ya piki piki iwe na jina la anaye kuuzia piki, hakikisha mnakuwa na mkataba wa mauziano kati yenu, hakikisha piki piki hiyo ina road licence ya mwaka huu, pia hakikisha piki piki hiyo haidaiwi na tra kwa sababu usipozingatia hilo unaweza kuta piki piki inadaiwa tra kiwango sawa au nusu ya bei ya mauziano.
Ikiwa na current road licence hiyo haina deni, pia unaweza kwenda max malipo ukataja namba ya piki piki utaambiwa una daiwa sh. Ngapi? Mkataba vizuri kupitia Mahakamani au kwa mwanasheria kwa kuwa utatumia kule tra utakapokuwa una badilisha jina la kadi ya piki pikintajuaje kama inadaiwa tra na huo mkataba nmpaka mahakamani au tunaweza kuandikisha wenyewe tuu
sort mkuu road licence ndo insuarence? maana ndo kitu alichonioneshaIkiwa na current road licence hiyo haina deni, pia unaweza kwenda max malipo ukataja namba ya piki piki utaambiwa una daiwa sh. Ngapi? Mkataba vizuri kupitia Mahakamani au kwa mwanasheria kwa kuwa utatumia kule tra utakapokuwa una badilisha jina la kadi ya piki piki
Road licence sio insurance wengine wanaita motor vehicle. Tembelea max malipo ujue denisort mkuu road licence ndo insuarence? maana ndo kitu alichonionesha
Mtaani inajulikana hivyo hata mimi nilikuwa najua hivyo lkn ukienda TRA au ukiangalia max malipo itaoneshwa unadaiwa motor vehicle. Tembelea max malipo utajua nini hasa unadaiwa. Namba ya piki piki inaanza na T. au MC?aliniambia pikipiki hasa hizi ndogo za ktembelea siku hizi hazina motor vehicle, sijui kuna ukweli gani juu ya hilo
Kama inaanza na T nenda max malipo haraka anataka kukuingiza mjini lazima itakuwa inadaiwa. Piki piki zote zinabadilishwa kwenda MC na unapo badilisha kwenda mc toka T kama una madeni lazima uyalipe. Nenda max malipo utajua inadaiwa sh ngapi? Anakuuzia bei gani? Kama hutajaliinaanza na T
sory no inaanzia na mc amesema alishabadili no bei ya kawaida sana mkuu mia naneKama inaanza na T nenda max malipo haraka anataka kukuingiza mjini lazima itakuwa inadaiwa. Piki piki zote zinabadilishwa kwenda MC na unapo badilisha kwenda mc toka T kama una madeni lazima uyalipe. Nenda max malipo utajua inadaiwa sh ngapi? Anakuuzia bei gani? Kama hutajali
Kama inaanzia Mc chukua hata kama itakuwa na deni sio zaid ya 20000 ila hakikisha jina la kwenye kadi ni lake isije ikawa ya deal alafu ukatiwa matatanisory no inaanzia na mc amesema alishabadili no bei ya kawaida sana mkuu mia nane
jina sio lake mkuu ni jina la aliemuuzia, ila anakadi original, vip inaweza kuleta shida ?Kama inaanzia Mc chukua hata kama itakuwa na deni sio zaid ya 20000 ila hakikisha jina la kwenye kadi ni lake isije ikawa ya deal alafu ukatiwa matatani