Mwongozo wa kununua Audi A4/A3, BMW 3 series/1 series na VW Golf/Polo

Mwongozo wa kununua Audi A4/A3, BMW 3 series/1 series na VW Golf/Polo

Unavyoichambua Gari kwa namba unanichanganya sana N45, N50, 83, 90 [emoji42][emoji42][emoji42] ungekua unatumia logic au kuanza kuidadavua hizo namba kwanza

Hizo ni engine code ndugu yangu....

Kama unaenda kununua gari kwa mtu akikupa kadi ukiangalia kipengele cha engine utakuta ina namba kama hizo.

Sasa kuchambua Audi si ndo utakimbia ndugu yangu...

Imagine hii ni Audi A4 yenye 2.0L FSI, TSI au TFSI
IMG_20220218_134530.jpg

Hiyo EA888 tena ya 2.0L tu...

Hapohapo ndani kwenye hizo codes kuna

Kuna First Generation

Second Generation aka kichomi maana kuna muda itaanza kunywa Oil kama inavyokunywa petrol.

Na third Generation

Hapo sijaguza bado EA888 ya 1.8L wala EA113 ya 1.8L au ya 2.0L

Benz na BMW hawana engine nyingi hata.
 
Hivi gari inaanzaje kuharibika yenyewe out of nowhere?

Yani ukae tu kesho uamke gari imeharibika?
Inawezekana kabisa..

MB walishatumia biodegradable insulation kwenye wire harness zao..Material inaharibika yenyewe over time.. Inakuwa dust..!
Gari inaharibika yenyewe sababu ya poor materials..!

Kama mchina..!
 
Hivi gari inaanzaje kuharibika yenyewe out of nowhere?

Yani ukae tu kesho uamke gari imeharibika?
Uharibufu wa gari mala nyingi ( hasa mechamical part) hutokana na matumizi mabaya ya chombo.

ila katika upande wa umeme ( electronics) anything can happen.. mtumiaji ana nafasi kubwa sana ya kuharibu, ila pia system pia inaweza kuzingua pia yenyewe.. ukaamka ukakuta mfumo umeloga
 
Unavyoichambua Gari kwa namba unanichanganya sana N45, N50, 83, 90 [emoji42][emoji42][emoji42] ungekua unatumia logic au kuanza kuidadavua hizo namba kwanza
Kama ni mwenzangu na mimi unaweza kufananisha na matoleo ya simu za TECNO
 
Hizo ni engine code ndugu yangu....

Kama unaenda kununua gari kwa mtu akikupa kadi ukiangalia kipengele cha engine utakuta ina namba kama hizo.

Sasa kuchambua Audi si ndo utakimbia ndugu yangu...

Imagine hii ni Audi A4 yenye 2.0L FSI, TSI au TFSI
View attachment 2122902

Hiyo EA888 tena ya 2.0L tu...

Hapohapo ndani kwenye hizo codes kuna

Kuna First Generation

Second Generation aka kichomi maana kuna muda itaanza kunywa Oil kama inavyokunywa petrol.

Na third Generation

Hapo sijaguza bado EA888 ya 1.8L wala EA113 ya 1.8L au ya 2.0L

Benz na BMW hawana engine nyingi hata.
Umempeleka kwenye pure mathematics..hapa ndiyo umemvuruga kabisaa kichwa
 
Back
Top Bottom