Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

Nimesema 10m anaweza kuanzia maana kasema anataka min- supermarket sio supermarket kubwa.
Akinunua vitu kama sabuni,mikate,dawa za miswaki,chocolates,toilet paper aluminium foil,wines,biscuits,juice etc for 10M sio mbaya kwa kuanzia. Hiyo ni hela ya manunuzi tu lazima awe keshalipia kodi kulingana na location yake na kuikarabati ofisi ili iwe na muonekano wa min-supermaket
Mungu awe nawe mazee
 
Kwa hiyo mfano ana hiyo 10m.kama asemavyo mkuu babuukikolo anaweza Fanya biashara gani?
 
Mkuu ukishafungua usinisahau kuhusu ajira japo ya kufagia mkuu. Twafadhali sana mkuu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
KUFUNGUA BIASHARA HII, UNAHITAJI YAFUATAYO

utahitaji kiwa na:

1. Shelves ambazo hazitapungu 5m,
2. Fridge walau 2 za vioo kama 2.5 to 3m,
3. Freezer walu moja kwa nyama, kuku, sausage etc ila kama utauza na icecream basi utahitaji freezer 2 kila moja walau 1.5m
4. AC walau moja au 2 kama eneo ni kubwa kwa sh 3M kwa makadirio
5. Kuwa na fan kutumia maramoja moja kupunguza gharama za Umeme kwa AC
6 . Computer
7. Mfumo wa malipo kwa kutumia system ya computer watakufanyia installation
8. Barcode
9. Printer ya kutoa risiti
10. Counter table
11. Aluminium doors kulingana na ukubwa wa eneo lako
12. Branding na mabango
13. Internal and external design ya eneo lako,
14. Baada ya hapo sasa ndo unaweza kuanza kufikiria pesa ya kununua vitu itakuwa kiasi gani nje ya investment
 
Hiyo pesa wanayosema 10m ni kidogo sana.
utahitaji kiwa na
1.shelves ambazo hazitapungu 5m,
2.fridge walau 2 za vioo kama 2.5 to 3m,
3.freezer walu moja kwa nyama, kuku, sausage etc ila kama utauza na icecream basi utahitaji freezer 2 kila moja walau 1.5m
4. AC walau moja au 2 kama eneo ni kubwa kwa sh 3M kwa makadirio
5.kuwa na fan kutumia maramoja moja kupunguza gharama za Umeme kwa AC
6 . computer
7.Mfumo wa malipo kwa kutumia system ya computer watakufanyia installation
8.Barcode
9.Printer ya kutoa risiti
10.Counter table
11 .aluminium doors kulingana na ukubwa wa eneo lako
12 .branding na mabango
13.internal and external design ya eneo lako,
14.baada ya hapo sasa ndo unaweza kuanza kufikiria pesa ya kununua vitu itakuwa kiasi gani nje ya investment

Lol.. Hivi bado kuna kupiga misele TFDA?
 
Hakuna kitu kinachoitwa mini supermarket bali mini market ukishasema supermarket haiwezi tena kuwa mini ni sawa na kusema duka kubwa dogo ndio nin sasa?
 
Habari wakuu,

Mwenye uzoefu na biashara ya min supermarket anijuze hasa anieleze ni bidhaa zipi zinauzika zaidi na zipi hazifai kuzijaza kwenye shelf.
 
Wakuu habari, nimefanikiwa kupata vijisent ambavyo nimekusudia kuanzisha biashara ya mini supermaket, lakini hadi sasa sijajua changamoto zake.

Nahitaji kujua kwa uzoefu ingawa inategemea na eneo husika ni bidhaa zipi zinauzika zaidi na zipi zinadoda kwenye shelf?
 
Kwa anayefahamu naomba mwongozo wa jinsi ya kuanzisha na kuendesha biashara ya super market.
1. Vibali na Leseni zinazotakiwa.
2. Minimum capital.
3. Wapi nitanunua bidhaa.
4. Day to day Managemenet.
5. Changamoto zake.
6. Mengineyo.

Naomba kuwasilisha.
 
Kwa anayefahamu naomba mwongozo wa jinsi ya kuanzisha na kuendesha biashara ya super market.

1. Vibali na Leseni zinazotakiwa.

2. Minimum capital.

3. Wapi nitanunua bidhaa.

4. Day to day Managemenet.

5. Changamoto zake.

6. Mengineyo.



Naomba kuwasilisha.
Hii biashara hata mm natamani Sana kuifanya lkn nakosa taarifa sahihi,hayo maswali yako ni muhimu Sana.wajuzi njooni mtusaidie huku.
 
Back
Top Bottom