NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Mini mkuu sio lenyewe kivile.hata hivyo nashukuruKwa maana halisi ya super market angalau uanze na 300mil hiyo 10 m itakuwa duka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mini mkuu sio lenyewe kivile.hata hivyo nashukuruKwa maana halisi ya super market angalau uanze na 300mil hiyo 10 m itakuwa duka tu.
Mungu awe nawe mazeeNimesema 10m anaweza kuanzia maana kasema anataka min- supermarket sio supermarket kubwa.
Akinunua vitu kama sabuni,mikate,dawa za miswaki,chocolates,toilet paper aluminium foil,wines,biscuits,juice etc for 10M sio mbaya kwa kuanzia. Hiyo ni hela ya manunuzi tu lazima awe keshalipia kodi kulingana na location yake na kuikarabati ofisi ili iwe na muonekano wa min-supermaket
Nimeelewa asante mkuuMkuu hata hiyo min supermarket inahitaji angalau items 200 tofauti, ili ionekane kdg jitahidi uwe na 50m ivi
Hiyo pesa wanayosema 10m ni kidogo sana.
utahitaji kiwa na
1.shelves ambazo hazitapungu 5m,
2.fridge walau 2 za vioo kama 2.5 to 3m,
3.freezer walu moja kwa nyama, kuku, sausage etc ila kama utauza na icecream basi utahitaji freezer 2 kila moja walau 1.5m
4. AC walau moja au 2 kama eneo ni kubwa kwa sh 3M kwa makadirio
5.kuwa na fan kutumia maramoja moja kupunguza gharama za Umeme kwa AC
6 . computer
7.Mfumo wa malipo kwa kutumia system ya computer watakufanyia installation
8.Barcode
9.Printer ya kutoa risiti
10.Counter table
11 .aluminium doors kulingana na ukubwa wa eneo lako
12 .branding na mabango
13.internal and external design ya eneo lako,
14.baada ya hapo sasa ndo unaweza kuanza kufikiria pesa ya kununua vitu itakuwa kiasi gani nje ya investment
hongera!kama uko dar es salaam niajiri jamani
Hii biashara hata mm natamani Sana kuifanya lkn nakosa taarifa sahihi,hayo maswali yako ni muhimu Sana.wajuzi njooni mtusaidie huku.Kwa anayefahamu naomba mwongozo wa jinsi ya kuanzisha na kuendesha biashara ya super market.
1. Vibali na Leseni zinazotakiwa.
2. Minimum capital.
3. Wapi nitanunua bidhaa.
4. Day to day Managemenet.
5. Changamoto zake.
6. Mengineyo.
Naomba kuwasilisha.