Kyindikibisi
Member
- Apr 7, 2018
- 72
- 36
Paja lilinona likawa kama mstim wa umeme[emoji39] [emoji39]
Ulikuwa unawapa chakula gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paja lilinona likawa kama mstim wa umeme[emoji39] [emoji39]
Okay kumbe azola nzuri sanaBila kusahau azola
Saaana INA proteins nying sana so inajenga miili kwa wanyamaOkay kumbe azola nzuri sana
Hivi unavyotengeneza kuna ulazima wa kutumia ile mbolea yake?Walishe mifugo utaona changes
Sio lazima wengine wanaweka kinyesi cha ngombe.Hivi unavyotengeneza kuna ulazima wa kutumia ile mbolea yake?
Azobam Sijui wanaita
Unachanganya na udongoHivi unavyotengeneza kuna ulazima wa kutumia ile mbolea yake?
Azobam Sijui wanaita
Ahsante! Kwani kazi ile mbolea hasa Ni nini?Unachanganya na udongo
Kuprovide carbondioxide ambayo inasaidia azola kufanya photosynthesis. Kiufup azola nilijifunzia Google na hayo ndiyo maelezo ambayo nilikutana nayo kipind najifunzaAhsante! Kwani kazi ile mbolea hasa Ni nini?
Maana Kuna mahali niliona wanachanganya samadi mwisho baada ya kujaza maji ndio anatia ile mbolea!
Shukrani! Maana huku niliko sidhani kama hiyo azobum itakua inapatikana kwa urahisi!Kuprovide carbondioxide ambayo inasaidia azola kufanya photosynthesis. Kiufup azola nilijifunzia Google na hayo ndiyo maelezo ambayo nilikutana nayo kipind najifunza
Hujamuelewa tu jamaa!Sina stress mkuu Bali nasoma comments zako naona utani tu!!! Mleta mada anataka kufanya mradi ili umsaidie kujikwamua kiuchumi lakini wewe unaleta utani na mzaha,, mkuu msaidie mwenzio mawazo kwa nia njema kabisa kama unaelewa kusudi lake
Pamoja sana mkuu. Nilidhani ni utani wake tuu kutokana na comments za mwanzo Mara mbuzi wawili kisha wakanona hadi kuwatamani na kuwachinja etc.Hujamuelewa tu jamaa!
Hilo wazo la azola alilompa Ni bonge moja la ushauri!
Kama unafuga tafuta hiyo kitu mzee
Kuna jamaa anapiga hela hatari pale kibaha,ana mabwawa kibao ya azola kazi yake ye anauza mbegu tu. Inasemekana kuwa bwawa la 4ft×6ft linazalisha 1kg ya azola kila siku . saiv azola imekuwa dili,kilo moja ya mbegu inarange kwenye 15k-20k. Ukiwa na bwawa kubwa unavuna mavuno mengi zaid ya kulishia mifugo na kias kinachobak unauza kujipatia kipatoHujamuelewa tu jamaa!
Hilo wazo la azola alilompa Ni bonge moja la ushauri!
Kama unafuga tafuta hiyo kitu mzee
[emoji106] [emoji106] [emoji106] pamojaPamoja sana mkuu...nilidhani ni utani wake tuu kutokana na comments za mwanzo Mara mbuzi wawili kisha wakanona hadi kuwatamani na kuwachinja etc
Tatizo langu ni hiyo mboleaKuna jamaa anapiga hela hatari pale kibaha,ana mabwawa kibao ya azola kazi yake ye anauza mbegu tu. Inasemekana kuwa bwawa la 4ft×6ft linazalisha 1kg ya azola kila siku . saiv azola imekuwa dili,kilo moja ya mbegu inarange kwenye 15k-20k. Ukiwa na bwawa kubwa unavuna mavuno mengi zaid ya kulishia mifugo na kias kinachobak unauza kujipatia kipato
Umetisha mbaya mkuu!Mi nilianza na wawili mwez january.Kwa namna walivyonona nilishindwa kuvumilia nimewapiga kisu nikawatafuna. Nitaanza rasmi tena mwez june
HahahaaaMi nilianza na wawili mwez january.Kwa namna walivyonona nilishindwa kuvumilia nimewapiga kisu nikawatafuna. Nitaanza rasmi tena mwez june