neema prosper
Senior Member
- Nov 8, 2010
- 146
- 154
AsanteHATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER)
Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu sana na hivyo yakupasa kuwa mwangalifu...
Ulifanikiwa ?Nitakutafuta maana nataka anzisha ufugaji wa 1000 kwa wiki
mrejesho tafadhal.Nitakutafuta maana nataka anzisha ufugaji wa 1000 kwa wiki
Naomba namba zako mkuunipo dar es salaam mkuu
HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER)
Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu sana na hivyo yakupasa kuwa mwangalifu...
Kiongozi naomba tuwasiliane.nipo dar es salaam mkuu
Umeelezea vizuri mkuu Ila hapo kwenye broiler nadhani ulikuwa unataka kuongelea kuroiler, broiler ni kuku wa nyama ambae kuanza kumfuga hadi kumuuza inachukua mwezi 1 Tu na sio miez 4 kama ulivosema hapoNimekua mfugaji kwa miaka miwili katika ufugaji wa bloirel na kienyeji asili
Bloirer 500 kienyeji nimefikisha 150 hao ni kuchi na kawaida.
CHANGAMOTO ZAU UFUGAJI KIENYEJI
1.Wanatumia muda mrefu kupata faida
Yaani unakaa na kuku hadi wanakuzoea
2.Magonjwa mengi na hivyo kupelekea vifo vingi
3. Upotevu mimi huwa nawafungia na kuwapa chakula ndani ya senyenge lakini wapi huwa wanaruka na kutoka nje. Na haswa vifaranga na kuku wakubwa. Chakula chao nachanganya zile pumba laini za dona na concentrator na funza nawatengenezea.
Hapa nimeshindwa pata ufumbuzi
CHANGAMOTO ZA BLOIRER
1. Uangalizi wa hali ya juu kwamuda mfupi.
2. Ukikosea kuwapa chanjo au dawa vifo ni vingi mno
3. Wanahitaji gharama kidogo kuwafuga. Hivyo bajeti yake isiingiliane na bajet yeyote ile kwenye familia vinginevyo hasara njenje.
FAIDA ZA KUKU WA KIENYEJI
1.Ukowauza kwa wingi unapata faida kubwa
2. Kuongeza afya na ni watam kwa mchemsho
3. Watazaliana kwa wingi hivyo utapata faida ya muda mrefu kwa kuuza mayai,nyama,vifaranga kama utatotolesha utauza tu.
FAIDA ZA BLOIRER
1. Faid chapchap kila baada ya miezi 4 unauza
2. Faida ya haraka kwa muda mfupi vice versa is true.
KARIBUNI WANANZENGO TUJADILI CHANGAMOTO ZA UFUGAJI NYAKATI HIZI NA TUELIMISHANE
Kuku woote wana magonjwa shida ni jinsi ya kuzuia na kuwatibu tusitaki kuamini kua hao kuku wa kienyeji wanasumbuliwa na magonjwa sanaaa kuliko hao broilaa
Typing error ni wiki kuanzia nne na kuendelea ingawa wengine wanauza wa wiki 3 na wanakua wakubwa tuUmeelezea vizuri mkuu Ila hapo kwenye broiler nadhani ulikuwa unataka kuongelea kuroiler, broiler ni kuku wa nyama ambae kuanza kumfuga hadi kumuuza inachukua mwezi 1 Tu na sio miez 4 kama ulivosema hapo
Sawa mkuu nimekupataTyping error ni wiki kuanzia nne na kuendelea ingawa wengine wanauza wa wiki 3 na wanakua wakubwa tu