Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Sir na-enjoy kufanya haya kuliko mnavyoweza kufikiri msitupangie to that extent sasa.Aidha, epuka kutumia herufi kubwa (CAPS), hati mkolezo au hati mlalo katika andiko lote.
monde arabe Noma sana!Yule jamaa ambaye kila uzi yeye anatype 'Noma sana' ataificha wapi sura yake?
Tafadhali soma hapa: Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020Hapo No7 kwenye kuwapuuza wanachama wasumbufu umeongelea kuhusu ignore. Naomba mpafanyie maboresho kidogo ukim-ignore mtu usipate notifications zake kabisa.
Mfano, kuna mtu nimem-ignore nikajua tatizo limeisha ila aki-like post zangu napata notifications.
Asante sana.Tafadhali soma hapa: Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020
Ni kuwa tunachofanya ni kuwashirikisha, mkitaka jambo tunalifanyia kazi ingawa inaweza ikachukua muda kidogo.
BTW, kama unatumia browser utaona kuwa kuna options zaidi zimeongezwa kwenye editor
[SUB]Kazi yake [/SUB][SUP]ni kama hii? [/SUP] Au nimekwama kuelewa vizuri?BTW, kama unatumia browser utaona kuwa kuna options zaidi zimeongezwa kwenye editor mfano X[SUP]2[/SUP] + Y[SUP]2[/SUP]
[SUB]Kazi yake [/SUB][SUP]ni kama hii? [/SUP] Au nimekwama kuelewa vizuri?
Ukimwona tuarifu, tutaangalia aina ya avatar na nani alianza kuitumia. Then wa mwisho ataelezwa kistaarabu kuwa achague avatar tofauti (kama wote ni active membersSijajua kwenye avatar iwapo mtu atachukua avatar well known ya member mwingine inakuaje?
Ndo maana kuna mfumo wa kupitia waliojisajili; ni nadra sana kukuta mkanganyiko wa majina. Mkibaini watu wa aina hiyo tuarifu tufanye maamuzi harakaAu zile I'd zinazochanganya..
Mfano mtu ajiite [SUB]maxence mmelo ..mnafanyaje?[/SUB]