Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
- Thread starter
- #41
Tayari nshakueleweshaNieleweshe basi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari nshakueleweshaNieleweshe basi mkuu
Walai sikuelewi au hizi Heinken nazogonga ndiyo zinaniharibia hiki kichwa...?Nimesema nataka kujifunza au nimejifunza?
Pia nimesema PM ni sehemu ya kujieleza ulichonacho, unachomiliki nk. Hiyo ni kwa upande wangu nilichokutana nacho mkuu
Sijafika kileleni bado endelea endeleaTayari nshakuelewesha
Endelea kugonga heinken baadae ukiwa vzr njoo usome tena post yangu mkuu [emoji23] [emoji23]Walai sikuelewi au hizi Heinken nazogonga ndiyo zinaniharibia hiki kichwa...?
Najaribu kukupa favor japo nikuelewe ila hollah. Eeeh endelea kunidanganya mama
Haya maana ungekuwa karibu ningeshakupasua na chupaEndelea kugonga heinken baadae ukiwa vzr njoo usome tena post yangu mkuu [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]So Mbaya Mleta Mada Jitahid Kidogo Nyuz Zako Ziwe Na Quality
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ukikaa mwaka tutegemee kitabu
NDUGU YANGU HILI JAMVI LIMEVAMIWA 'IN THE SPIRIT OF FREE SPEECH' KIASI KWAMBA KWA SASA HALINA TOFAUTI NA FB. HIVI SASA NI NADRA SANA KUDADAVUA MAANDIKO MURUA YA NGULI AMBAO NDIYO WALIOTUFANYA SASA TUVUTIWA NA KUINGIA JAMVINI. HIVI SASA NI MAGUFULI! MAGUFULI !MAGUFULI !NA HAKUNA MANTIKI YOYOTE ILE YA WAANDISHI WENGI HUMU NDANI NA HII INANIFANYA NIAMINI KUWA KUTOKANA NA MISONGO YA MAISHA KUNA WENGINE BAADA YA KUTAFUTA SULUHISHO WAO WANATAFUTA WA KUMLAUMU NA HIVI SASA NI MAGUFULI! MAGUFULI!Habari za Jumapili wanajamvi...
Nimetimiza mwezi mmoja na cku kadhaa toka nijiunge rasmi na JF. Kiukweli nimejifunza mengi, nimekutana na mengi humu ya kukatisha tamaa, kuumiza, kuvunja moyo hata kufikia kujitoa kwa muda [emoji4]
Ila kikubwa nilichojifunza ni kutokuamini kila kilichomo humu, kutokumuamini yeyote humu na zaidi sana usichukulie serious chochote kinachoendelea humu.
Ingia humu soma story ufurahi ama ujifunze jambo basi. PM ni za kupiga story za uongo na kujisifia maisha unayoishi, unachomiliki basi.
Tofauti na JF niliyokuwa ninaiona wakati nikiwa guest member, JF ya watu wenye akili na upeo wa hali juu, watu wenye mawazo na mitizamo ya hali ya juu, [emoji4] kumbe imejaa waongo, wanafiki na waliotayari kuumiza wengine kwa kivuli cha kutojulikana....
Mwisho ninawashukuru sana kwa kunikaribisha na kunifunza humu, naahidi nimejifunza na nitaendelea kujifunza kwamba JF ni dunia ya kusadikika [emoji4] [emoji4]
Have a good weekend and merry early xmass
Na mimi nakaribia kutimiza mwezi,ngoja niandae mrejesho wangu [emoji12]Pole sana mkuu kwa hayo yaliyokukuta huko kunako chumbani(PM)
Kuwa mvumilivu JF ni mtandao bora wenye kila aina ya huduma unayoitaka ambayo sehemu nyingine ungeweza kuilipa japo senti 5.
[emoji16][emoji16][emoji16] hata mm nimehisi hivyoNadhan we ndo utakuwa na tatiz yani umekuja juzi hapa unaanza kutugeneralize...shame on you
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na mimi nakaribia kutimiza mwezi,ngoja niandae mrejesho wangu [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binafsi naheshimu sana jf na ninawaheshimu sana watu wa jf..[emoji16][emoji16][emoji16] hata mm nimehisi hivyo