My 1month experience in JF

My 1month experience in JF

Nimesema nataka kujifunza au nimejifunza?

Pia nimesema PM ni sehemu ya kujieleza ulichonacho, unachomiliki nk. Hiyo ni kwa upande wangu nilichokutana nacho mkuu
Walai sikuelewi au hizi Heinken nazogonga ndiyo zinaniharibia hiki kichwa...?

Najaribu kukupa favor japo nikuelewe ila hollah. Eeeh endelea kunidanganya mama
 
Walai sikuelewi au hizi Heinken nazogonga ndiyo zinaniharibia hiki kichwa...?

Najaribu kukupa favor japo nikuelewe ila hollah. Eeeh endelea kunidanganya mama
Endelea kugonga heinken baadae ukiwa vzr njoo usome tena post yangu mkuu [emoji23] [emoji23]
 
Habari za Jumapili wanajamvi...
Nimetimiza mwezi mmoja na cku kadhaa toka nijiunge rasmi na JF. Kiukweli nimejifunza mengi, nimekutana na mengi humu ya kukatisha tamaa, kuumiza, kuvunja moyo hata kufikia kujitoa kwa muda [emoji4]

Ila kikubwa nilichojifunza ni kutokuamini kila kilichomo humu, kutokumuamini yeyote humu na zaidi sana usichukulie serious chochote kinachoendelea humu.

Ingia humu soma story ufurahi ama ujifunze jambo basi. PM ni za kupiga story za uongo na kujisifia maisha unayoishi, unachomiliki basi.

Tofauti na JF niliyokuwa ninaiona wakati nikiwa guest member, JF ya watu wenye akili na upeo wa hali juu, watu wenye mawazo na mitizamo ya hali ya juu, [emoji4] kumbe imejaa waongo, wanafiki na waliotayari kuumiza wengine kwa kivuli cha kutojulikana....

Mwisho ninawashukuru sana kwa kunikaribisha na kunifunza humu, naahidi nimejifunza na nitaendelea kujifunza kwamba JF ni dunia ya kusadikika [emoji4] [emoji4]

Have a good weekend and merry early xmass
NDUGU YANGU HILI JAMVI LIMEVAMIWA 'IN THE SPIRIT OF FREE SPEECH' KIASI KWAMBA KWA SASA HALINA TOFAUTI NA FB. HIVI SASA NI NADRA SANA KUDADAVUA MAANDIKO MURUA YA NGULI AMBAO NDIYO WALIOTUFANYA SASA TUVUTIWA NA KUINGIA JAMVINI. HIVI SASA NI MAGUFULI! MAGUFULI !MAGUFULI !NA HAKUNA MANTIKI YOYOTE ILE YA WAANDISHI WENGI HUMU NDANI NA HII INANIFANYA NIAMINI KUWA KUTOKANA NA MISONGO YA MAISHA KUNA WENGINE BAADA YA KUTAFUTA SULUHISHO WAO WANATAFUTA WA KUMLAUMU NA HIVI SASA NI MAGUFULI! MAGUFULI!
 
Hii ndo Jf, ni sehemu ya kujifunza, kuondoa stress na kuburudika.
Pia watu makini wapo ila inategemea na majukwaa unayopendelea kutembelea kama ww ni wa chit chat au MMU basi jiandae kukutana na unaoendana nao kifikila na kimtazamo.
 
Nadhan we ndo utakuwa na tatiz yani umekuja juzi hapa unaanza kutugeneralize...shame on you
 
Back
Top Bottom