My best gospel song ever

Ninapenda sana gospel track Nampa pongezi mleta Uzi ubarikiwe sana mkuu.
 
Habari ya mwana mpotevu eh
akafikiri sana moyoni mwakee watumishi wangap wa babaaa???[HASHTAG]#good[/HASHTAG] old days ila hata wa sasa wananibariki but hizo nyimbo za enzi za nyuma hazitokuja kusahaulika maishan mwangu
 
joyous celebration vol 16,19,14 napenda nyimbo za kwaya ya kijitonyama upendo group all songs na muungano kwaya but kwangu mimi nyimbo za zamani ndo nasikiliza sana
 
Now you are talking...people should know about Ron Kenoly (PhD). Apart from being very talented, pia kasomea music kwa kiwango cha PhD.
Dr Ron Kenoly hahaha
Zamani sana huyu jamaa, wimbo wa Majesty, ancient of days na God is able
Namuheshim sana huyu jamaa
 
Hahaha
Tuko pamoja hapo nadhan na mimi ndio hivo sizielewi ila nazipenda
 
Mimi huwa naona gospel za kiafrika zime simama, utakuta wimbo si uelewi ila naukubali tuu
[emoji1]
Au hata mwafrika akiimba ndo namuelewa kuliko mzungu
Joyous Celebration-Lord i can feel
Asante sana hawa jamaa wako vizuri sana
 
nq
Nqubeko ni bonge ya MD nadhani hata Ntokozo mambo yake yana nyooka kwa sababu ya effort za uyu bwana.
Vashawn cmjui lakin ntamtafuta
nqubeko mbatha ndo ameifikisha joyous cerebration pale ilipo yani........
jamaa yuko vizuri hatar.....
jc wanadogo wao MD anaitwa siyanqoba(siya)....nae yuko vizuri achaaaa
 
kuna aliecheki spirit of praise6???????
South hawa jamaa gospel mziki wako nxt level yaniiiii.......
Joyous cerebration album yao ya 22(jc22) wanaenda kurecod live dallas to the potters house kwa TD Jakes......
south ni nxt level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…