Kutokana na list yako vipi huwa huwasikilizi michael smith na ron kenoly?1. Don Moen - Our Father
2. Don Moen - Mi Corazon
3. Don Moen - As We Worship You
4. Passion Worship Band - Breathe
5. Lenny Leblanc - A Shadow In Your Light
6. Lenny Leblanc - i dance
Nitajaribu kuwasikiza nitakupa mrejeshoo.... Ila kuna vitu vingi huwa naangalia kwny music .... Kama vionjoo vya musicKutokana na list yako vipi huwa huwasikilizi michael smith na ron kenoly?
Tutupie na list ya za Kibongo mkuu.Angalieni hapa list ya gospel musicians na groups mbalimbali
View attachment 408398
Hao nilikuambia vionjo na mahadhi vinafanana na hao uliowataja besides don moen alikuwa music director wa ron kenolyNitajaribu kuwasikiza nitakupa mrejeshoo.... Ila kuna vitu vingi huwa naangalia kwny music .... Kama vionjoo vya music
Unalosema lipo kote sio ulaya tu hata hapa tanzania lipo waimbaji ujue shetani anawawinda sana mana akiwapata ni rahisi kuchafua mioyo ya watu na kanisa kwa ujumla wokovu ulaya na america ni kwa asilimia ndogo sanaKulikuwa na safari ya kiutumishi ktk nchi xa ulaya na Australia hawa jamaa wengi wanaimba kwa hamasa na msisimko lakini ukikutana nao maisha yao yapo mbali na nyimbo wanazoimba viroho vyao ni tofauti na wanavyoonekana. Anaweza kumaliza kuimba ukamkuta barhroom anavuta sigara.
Ni afadhari na yule anaeimba kawaida lakini anakiishi anachokiimba .
Daah, Donnie McKurklin sio mchezo, nyimbo zake akiwa live zinahamasisha sanaGospel za wazungu huwa sizielewi kishenzi yaan
Nampenda kirk Franklin na donnie Mckurklin.
Ila zaid napenda South African Songs hapo ndio patamu
Sanaaa kuna live yake kaimba wimbo wa sinach uki icheki ni nzuriDaah, Donnie McKurklin sio mchezo, nyimbo zake akiwa live zinahamasisha sana
Jamaa kwa vocals hatari anagonga vocal balaa afu pitch za juuSanaaa kuna live yake kaimba wimbo wa sinach uki icheki ni nzuri
Naupenda sana wimbo wake wa only you are holy ingawa zipo kali zingine kama we fall down,i will trust you lord,i will sing etcSanaaa kuna live yake kaimba wimbo wa sinach uki icheki ni nzuri
Zote kali japo nna pendelea ibwill trust uNaupenda sana wimbo wake wa only you are holy ingawa zipo kali zingine kama we fall down,i will trust you lord,i will sing etc