My best gospel song ever

My best gospel song ever

1. Don Moen - Our Father
2. Don Moen - Mi Corazon
3. Don Moen - As We Worship You
4. Passion Worship Band - Breathe
5. Lenny Leblanc - A Shadow In Your Light
6. Lenny Leblanc - i dance
Kutokana na list yako vipi huwa huwasikilizi michael smith na ron kenoly?
 
Kulikuwa na safari ya kiutumishi ktk nchi xa ulaya na Australia hawa jamaa wengi wanaimba kwa hamasa na msisimko lakini ukikutana nao maisha yao yapo mbali na nyimbo wanazoimba viroho vyao ni tofauti na wanavyoonekana. Anaweza kumaliza kuimba ukamkuta barhroom anavuta sigara.
Ni afadhari na yule anaeimba kawaida lakini anakiishi anachokiimba .
 
Nitajaribu kuwasikiza nitakupa mrejeshoo.... Ila kuna vitu vingi huwa naangalia kwny music .... Kama vionjoo vya music
Hao nilikuambia vionjo na mahadhi vinafanana na hao uliowataja besides don moen alikuwa music director wa ron kenoly
 
Kulikuwa na safari ya kiutumishi ktk nchi xa ulaya na Australia hawa jamaa wengi wanaimba kwa hamasa na msisimko lakini ukikutana nao maisha yao yapo mbali na nyimbo wanazoimba viroho vyao ni tofauti na wanavyoonekana. Anaweza kumaliza kuimba ukamkuta barhroom anavuta sigara.
Ni afadhari na yule anaeimba kawaida lakini anakiishi anachokiimba .
Unalosema lipo kote sio ulaya tu hata hapa tanzania lipo waimbaji ujue shetani anawawinda sana mana akiwapata ni rahisi kuchafua mioyo ya watu na kanisa kwa ujumla wokovu ulaya na america ni kwa asilimia ndogo sana
 
God will make away -Don moen, The name of Jesus-Snich. bila kuwaacha mbali wataalamu wa ma vocal Spirit of praise chini ya pastor Benjamin dube hatari sana hawa jamaa.
 
I've never been in this homesick before....
 
wakuu kuna album ya jamaa anaitwa nqubeko mbatha hatari sana alikuwa music director wa joyous celebration pia kuna mtu anaitwa vashawn mitchell aliyeimba nobody greater ametoa album kafanya live south africa inaitwa secret place kuna wimbo kapiga na benjamin dube mtamu sana unaitwa siyakudumisa
 
Back
Top Bottom