My better half could be here!!

My better half could be here!!

Status
Not open for further replies.

Maya Angelou

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
1,086
Reaction score
2,576
Hello wana Jf
Mimi ni mgeni humu japo ni mwenyeji nimekuwa nikifatilia JamiiForums kwa muda ila leo nimejiunga rasmi haswa kwasababu ya post hii

Kiufupi mimi ni mwanamke wa miaka 27 mkristu mrefu mweusi(maji ya kunde)elimu yangu ni level ya degree,sina mtoto ni mcheshi kiasi etc
Age imefika sasa naamini ni wakati wa kupata mwenza wa kutulia nae naamini JF ni kama huko mtaani tu labda mume mtarajiwa atakuwa huku.
Si kwamba huko mtaani sijapata wanaume wanaotaka kuanzisha mahusiano sadly wengi bado hawapo tayari kwa ajili ya ndoa so tunapishana hapo,pia kutokana na kazi zangu pengine nakosa muda mzuri wa kusocialize kivile ukitoa clients ninaowahudumia kazini tu.

Mume mtarajiwa ningependa awe na umri kuanzia 33-35 au zaidi,kabila lolote,elimu ngazi yoyote muhimu ni jinsi gani unaaply elimu yako kwenye mambo muhimu ya maisha,ni mtafutaji sikatai kuajiriwa lakini naamini utakuwa na maono zaidi ya kujiajiri,awe mkristu(mahusiano yake na Mungu ni muhimu sana),mkarimu,msikivu na muelewa anaelewa majukumu yake kama mume,mrefu asiwe chini ya cm 170
Relationship sio sehemu ya kupata stress bali ni sehemu ya kufurahia maisha,am matured enough kujua nini nataka na nini jamii inategemea kutoka kwangu same kwa mume mtarajiwa naamini itakuwa hivyo
DM yangu ipo wazi kwa uchambuzi na kujuana zaidi
Only serious men please kama kuoa bado bado hakuna haja ya kupotezeana muda
Asanteni[emoji1374]
 
Mjini mambo mengi dear
Nikitoka kibaruani lazima nipite club kidogo
Nipige mastory na wadogo zako wale wanaovaaga nguo za wadogo zao[emoji23][emoji23]
Nikirudi ni saa 7 nipo chakali

Ooh aisee wewe bado kabisa endelea kula raha kwanza mpaka utakapoona imetosha
 
Hutaki kutengeneza chakula vile unataka kiwe?
Bado unaweza kula samaki ameanza kuchina na bado ukamtia ndimu na viungo ukampika na akawa chakula kizuri tu
Vizuri vyote vimeundwa

Kuna mambo mengi ya kuconcentrate kwenye familia,watoto etc majukumu ya kifamilia kwanini huo muda wa kukubadilisha wewe tusitumie kujenga mambo mengine ya familia
Na pia siamini katika kumbadilisha mtu ni either ukubali mapungufu yake uishi nae hivyo hivyo au ujiepushe na mtu huyo kabisa
Mabadiliko ya kweli ni maamuzi ya mtu binafsi
 
Kuna mambo mengi ya kuconcentrate kwenye familia,watoto etc majukumu ya kifamilia kwanini huo muda wa kukubadilisha wewe tusitumie kujenga mambo mengine ya familia
Na pia siamini katika kumbadilisha mtu ni either ukubali mapungufu yake uishi nae hivyo hivyo au ujiepushe na mtu huyo kabisa
Mabadiliko ya kweli ni maamuzi ya mtu binafsi
Bado una nafasi yako kumbadili mtu si kila tabia ni yakuzaliwa nayo mengine watu huyakuta ukubwani kwa aina ya makundi anayokuwa nayo mtu
Nimewaona wengi wakibadilika
Don't give up bado kuna nafasi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom