My brothers and Sisters, it is really painful

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
758
Dear Tanzanians, You all need bravery, because the task at hand is difficult and requires great sacrifice.

You must understand that always great success only comes after martyrdom of a few.

We must stick together until victory, because there is no power on earth that can fight a determined people who have decided that enough is enough.

Come rain, come shine.

Let's remember our brothers and sisters who lost their lives during the peaceful demonstration, Some died while defending the noble cause. Iam sure their spilt blood will enrich the tree of life that will bear the fruits of true democracy.

Some of our brethren have lost their life with no reason (cold blood) a good example is a young university lady who was shot by the brutal police yesterday.

It is raelly sad and painful.

Is their need to use the fire tank, bombs to silent the peaceful demonstration?

Please my dear Minister of defence may you please make some reforms?

Dear police, we citizens died long ago, why are you trying to kill us innocently?
Our children, brothers, sisters, uncles, aunts, also died long ago trying to search this unknown independence.

Why are you aiming at us? Your late fathre 's taxes bought those guns. Is that a fault to buy guns for the defence purpose?

Then why are you turning those guns against our lives?

Woe unto the ones who sent you, to come and reap sins for no reason, while they remain enjoying themselves with their families in their castles.

Lastly. We should cleans our heart, because our next minute is unknown. Put away all sins that may hinder you to see the face of you God at the time of judgment. You are not the own of your life.

IMG-20180217-WA0002.jpg

R.I.P Young university Lady.
 
Mkuu let me sicerely speak about this..........

Huu uzi wako ungebadilisha kutoka hiyo kitu yako uliotumia kuandika kwenda kiswahili aseee ungeona watu wanavyo porojoka hapa , na ukizingatia jukwaa la Mahusiano acha kabisaa tatizo lugha

then umetumia Britain English ile ya ndani hii ungepeleka kule International forum kwa Mabalozi na mawaziri kule huku daaa...
 
Fa

Fact ⚡
 
kauuwa bahati mbaya, kwani polisi alikusudia?
Katika kupiga risasi angani kunahitaji balance/stamina ya mkono, sasa kama ukono ulikosa nguvu kidogo ndio hivyo bahati mbaya risasi ikampata dogo hapo.
Hakuna haja ya kulalama saaana zaidi ni pole kwa wafiwa wote.

Kama wananchi tujifunze kutokufanya mambo ambayo yamekatazwa, eti kisa unajua unawatetezi.... Dogo naye kaenda chuo kusoma anasahau mambo ya msingi na kuingia kwenye maandamano ya kisiasa huu nao ni ujinga...
Kila jambo na wakati wake.
Siasa ya Tz ishakuwa ya kupuuzi na wanaoishabikia wote wanaonekana wapuuzi pia bila kujali ni chama gani.Watu wanatekwa akili kisa tu mtu fulani apate ubunge huo ni UJINGA kama ujinga mwingine.

Huyo dogo kama asingeandamana akaishia kupiga kura tu kwani angepungukiwa nini? au ndio kufwata mkumbo.

Narudia tena, pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
Mkuu sio sawa hii pia nashauri kupata full information kabla ya comment, huyu binti hakuwa kwenye maandamano, then kauawa bahati mbaya kweli? Mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya
Kibinadamu sio sawa siasa au madaraka yanapeleka watu pabaya sijui watakufa navyo??? Au wataishi milele
Poleni wafiwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Kama hizi ni Akili zako bora Babako Angetumia Condom, Wasted sperm!
 
Unaona sasa namna vijana wa CCM wasivyo na akili.... Hajui hata tukio limetokeaje yeye ni kuandika ujinga..... This nation is doing nothing because of stupid people of this kind..... They dont know even to fight for their freedom... Rubbish
 
kauuwa bahati mbaya, kwani polisi alikusudia?
Katika kupiga risasi angani kunahitaji balance/stamina ya mkono, sasa kama ukono ulikosa nguvu kidogo ndio hivyo bahati mbaya risasi ikampata dogo hapo.
Hakuna haja ya kulalama saaana zaidi ni pole kwa wafiwa wote.

Kama wananchi tujifunze kutokufanya mambo ambayo yamekatazwa, eti kisa unajua unawatetezi.... Dogo naye kaenda chuo kusoma anasahau mambo ya msingi na kuingia kwenye maandamano ya kisiasa huu nao ni ujinga...
Kila jambo na wakati wake.
Siasa ya Tz ishakuwa ya kupuuzi na wanaoishabikia wote wanaonekana wapuuzi pia bila kujali ni chama gani.Watu wanatekwa akili kisa tu mtu fulani apate ubunge huo ni UJINGA kama ujinga mwingine.

Huyo dogo kama asingeandamana akaishia kupiga kura tu kwani angepungukiwa nini? au ndio kufwata mkumbo.

Narudia tena, pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
Unaliwa nini? Umeambiwa huyo binti alikuwa ana andamana au una ropoka tu halafu unasema ukipiga risasi juu mkono unakosa balance na wale walipigwa risasi miguuni je? kwa taarifa yko huyo dada hakuwa kwny maadamano alikuwa kwny daladala na kapigwa risasi ya kichwani embu niambia balance gani ina kosewa hadi mtu risasi ya kwnd juu inampata kichwani akiwa kwny daladala
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kauuwa bahati mbaya, kwani polisi alikusudia?
Katika kupiga risasi angani kunahitaji balance/stamina ya mkono, sasa kama ukono ulikosa nguvu kidogo ndio hivyo bahati mbaya risasi ikampata dogo hapo.
Hakuna haja ya kulalama saaana zaidi ni pole kwa wafiwa wote.

Kama wananchi tujifunze kutokufanya mambo ambayo yamekatazwa, eti kisa unajua unawatetezi.... Dogo naye kaenda chuo kusoma anasahau mambo ya msingi na kuingia kwenye maandamano ya kisiasa huu nao ni ujinga...
Kila jambo na wakati wake.
Siasa ya Tz ishakuwa ya kupuuzi na wanaoishabikia wote wanaonekana wapuuzi pia bila kujali ni chama gani.Watu wanatekwa akili kisa tu mtu fulani apate ubunge huo ni UJINGA kama ujinga mwingine.

Huyo dogo kama asingeandamana akaishia kupiga kura tu kwani angepungukiwa nini? au ndio kufwata mkumbo.

Narudia tena, pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
Mwanzo mwisho umeandika kinafiki nafiki, shortly you don't understand your role in promoting good governance. You try to idle yourself from the reality. Okey but tumekusoma .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu sio sawa hii pia nashauri kupata full information kabla ya comment, huyu binti hakuwa kwenye maandamano, then kauawa bahati mbaya kweli? Mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya
Kibinadamu sio sawa siasa au madaraka yanapeleka watu pabaya sijui watakufa navyo??? Au wataishi milele
Poleni wafiwa
mkuu mbona unajifunga unapohoji kwam a mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya.... Je unataka kusema huyo dogo alikuwa mwanachama wa chadema? au anauhusiano gani na chadema? au alifikaje eneo la tukia mpaka kuuawa?
Je ukiona ukiona mwana CCM anakufa kwa kufyatuliwa risasi na polisi utafurahi? Je si ni wote watanzania? mtu kafa uchama wa nini hapa? ishu ni shughuli za kisiasa ndio vimeleta yote haya, polisi kwenda na bunduki pale hawajakosea maana wasingeenda na marungu
 
Kiufupi marehemu hausiani na maandamano wala siasa za chama chochote ulikurupuka mwanzoni Sana na ile comment
 
Kama hizi ni Akili zako bora Babako Angetumia Condom, Wasted sperm!
Kwel hili jamaa cjui kama kwel lilizaliwa au limetotolewa kama kuku...halina information linajimwaga tuu huku...ninhekuwa karibu nae ningemzaba kibao....shuani
 
mkuu mbona unajifunga unapohoji kwam a mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya.... Je unataka kusema huyo dogo alikuwa mwanachama wa chadema? au anauhusiano gani na chadema? au alifikaje eneo la tukia mpaka kuuawa?
Je ukiona ukiona mwana CCM anakufa kwa kufyatuliwa risasi na polisi utafurahi? Je si ni wote watanzania? mtu kafa uchama wa nini hapa? ishu ni shughuli za kisiasa ndio vimeleta yote haya, polisi kwenda na bunduki pale hawajakosea maana wasingeenda na marungu
Sidhani kama unazo za kukutosha...eti naww unaona umetoa comment....toa uchafu wako apa.
 
.."Your late fathre 's taxes bought those guns. Is that a fault to buy guns for the defence purpose?
Then why are you turning those guns against our lives?.."

...turning those guns against innocent Tax payers, who pays their wages.
 
If this's happening in 2018, we have to think, and should be concerned about Tanzania in '2020'

I can only Imagine..
 
Back
Top Bottom