My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Mzee baba vipi hukutafuna kweli? Maana hii mizigo yenye nyege 4x4 huwaga mziki wake lazma upate kiji friction flani. Kawaua kitaalamu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Kupata hiyo kitu sio rahisi kihivyo kuna factor nyingi zinazochangia ndomaana kuna kapo unakuta mmoja +ve lakin mwingine -ve.
 
Wazungu washenzi sana...hiyo project yao tumeishtukia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo wanataka uwe mteja wao sasa wakununua mbaazi
kuna mzee juzi alinambia ukiona ugonjwa umekuja na kutrend sana duniani ujue ni project ya mzungu kupiga pesa na wala si magonjwa hatari sana ka yanavovumisha, akasema mfano ni HIV na CORONA bt akasema magonjwa yote halisi kama kansa, kisukari hawayavumisi coz ni magonjwa halisi.
 
Mkuu hornet anaweza kukupa mechi moja kajaribu uone kama utatoka salama
Mkuu unaweza usiamini ukiambiwa hata wewe umesha.tomba wengi tu wenye hii maneno ni hivi tu kwa kujua au kutojua hawakuambii.
 
NI vizuri kama umeweza kujikubali,utaishi kwa raha na amani...
 
Pole sana
 
Kwahio aliwakabidhi malighafi wana wakajibutulia kiroho safi...Maana ule uzi wa kuwa ana genye endlessly uliamsha hisia za mabaharia.[emoji16][emoji16][emoji16] waliofanya kweli watakuwa wanaugulia huko waliko [emoji41]
Na jf watu wanapenda mteremko sipati picha walivyojaa pm
 
Last time kula kavu mimi 2017 Ila hapo Kuna matukio mengi sana [emoji1787]
 
Kuna watu hawajayajua vizuri ya magonjwa ya virus,,kawaida hayanaga dawa,ila miili huwa ina adopt,,mfano mzuri ni corona,,mwanzo ilianza kwa kuchachafya ila sasa sio tishio tena,maana watu washagain immunity,,
Wakati ukimwi unaingia,ilikuwa ni miezi sita tu mtu chali,,,anang'ata shuka,,
Leo hii unaweza kuishi hata miaka 40
 
Walaji wa tunda kimasihara mpo???? Au ndo nzi kufia kwenye donda ni halali yake,
 
Hofu huua zaidi
 
Kwa miongozo inayotumika sasa hivi ukipima na kukutwa na maambukizi unaanza dawa haraka iwezekanavyo baada ya kufanyiwa vipimo vya viral load, CD4, liver and renal profiles pamoja na full blood picture, imekuwaje wewe hukupitia utaratibu huu?
Hayo ya kwenu huko OPD na wodini.
Huku social media tunaishia "tusipime kwa macho" na tuache "kula tunda kimasihara".
Ulitaka aeleze kila kitu hapa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…