DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
mastori ya townHabari zenu wote?
Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno,
Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,
majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno,
nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.
Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.
my take ;
usimpime Mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.
#lets stay positive.