My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Walaji wa tunda kimasihara mpo???? Au ndo nzi kufia kwenye donda ni halali yake,
Ukiwaambia kuwa tendo la sex linahitaji maandalizi na sio kula kimasihara, wanakuona hujakamilika.
Mleta uzi ametoa ushauri mzuri kuwa usidandanywe na macho
 
Ila lazma tuendelee kukaa vizuri na mabeberu maana wao ndo wanasaidia haya madawa siku wakigoma hali itakayotokea haitaelezeka.
 
Hayo ya kwenu huko OPD na wodini.
Huku social media tunaishia "tusipime kwa macho" na tuache "kula tunda kimasihara".
Ulitaka aeleze kila kitu hapa!
Mkuu mie sipo OPD ila ni naelewa taratibu, mleta mada aliulizwa kuhusu dawa akasema hajaambiwa chochote kuhusu hilo ndio nikataka kujua imekuwaje? Naelewa na kuheshimu faragha ya mleta mada
 
Mungu atusaidie sana wanaume.
Kuna mitego flani flani humu niliivuka lkn kuna jamaa zangu walipita na mia, sijui wana hali gani....jf iacheni tu ibaki ilivyo.
Kuna faulu nyingi sana humu
Hahahah japo ngoma sio rahisi kupata ila kwa mechi ya goli 3 au zaidi uhakika wa kuungwa REA ni 98% esp. kama bi mdada alikuwa hajijui na hajagusa minjingu.
 
Siku hizi ni wa kawaida chief, nina watu nawafahamu wanaishi miaka nenda rudi.

Utaulinganisha na diabetes type B au camcer mkuu?
Ukwae ww ndio uje na hiz habar za "aah wa kawaida tu"
 
Ahhh! My dear Hornet sitaki kuamini hii habar kabisa. Anyway dunia mapito tu hakuna atakayeishi milele mwathirika na asiyemwathirika sote twafa. Mm sitaogopa hyo kitu
 
Hahahah japo ngoma sio rahisi kupata ila kwa mechi ya goli 3 au zaidi uhakika wa kuungwa REA ni 98% esp. kama bi mdada alikuwa hajijui na hajagusa minjingu.
Minjingu=mbolea?
Dawa?
Umeniacha mkuu
 
tunaita kusimamia kucha aka kukamia, mpaka ile harufu ya vitumbua unaisikia ilee
dadeki
Kmmmk mara paap SD Bioline ina mistari pacha 🤣🤣🤣 lazma ukae chini ulie kummmk!!!

Nili risk sana afya yangu nilikuwaga natabia hio on my early 20's napiga ududu mpaka nikija kutulia kichwa kimechubuka vibaya mno. Mtoto wa kike nimemgaragaza kalowa na kukauka hata mara 6!

Stamina na tizi ilikuwepo la uhakika, 40mins juu ya kifua cha mwali ni uhakika. Nikaja kupewa somo na wandewa kuwa kumbe zile shughuli za umwamba zingeweza kuniua kisenge. Since then nagusa mos mos nikichuja tu tumefunga mjadala. Hamna faida kwanza hutaweza mkomoa manzi na una risk afya yako.
 
Mkuu mie sipo OPD ila ni naelewa taratibu, mleta mada aliulizwa kuhusu dawa akasema hajaambiwa chochote kuhusu hilo ndio nikataka kujua imekuwaje? Naelewa na kuheshimu faragha ya mleta mada
So yaache Kama yalivyo

Nimeweka tahadhari hayo mengine napambana nayo binafsi.
 
Haahaha siku hizi hata mimi sitombe..i shida....napiga juu juu nasepaa na ndio siri kubwaa ya kua salama hadi leo hii la sivyo ningeshaukwaa miaka 13 nyumaa[emoji1787][emoji1787]
 
Mungu atusaidie sana wanaume.
Kuna mitego flani flani humu niliivuka lkn kuna jamaa zangu walipita na mia, sijui wana hali gani....jf iacheni tu ibaki ilivyo.
Kuna faulu nyingi sana humu
Ngoma ipo kila sehemu mzee sio jf tu...demu wa jf ndio tupo nao mtaani, yani niogope kuopoa pisi humu kisa ngwengwe..lakini ukienda sehemu ya starehe unabebaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…