My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Duh ndio kwanza nasikia kwako mkuu, unaweza ukaelezea kama hutojali na sisi tupate kuelewa mkuu
 
Na hawa ni wengi zaidi.

Wengi walizaliwa hapo 1990-2015 wakati hamna dawa za kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Wengi saivi ndo hawa warembo na mabrazameni wanadunda tu.
Kumbe huduma ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ilichelewa hivi. Ila nimekumbuka mama mmoja naambiwa aliolewa na mume positive ana watoto wanne, wa kwanza aliolewa. Wakati yupo grade 7 nipo grade 2, mwaka 2007 hiyo. Yupo anadunda ila mwanamichezo mzuri sana.
 
Hornet samahani sana kama nitakua nimekukwaza ila i thought kuchat na watu katika uzi wowote ni jambo ambalo sio geni. Ila naona kama imekuwa ishu sana mpaka nakuwa attacked,,, i'm bouncing!
Tumekosea sana, tumeeleweka isivyo.
Kulikuwa na haja ya kuzingatia aina ya uzi tuliopo, hapa kumbe sio mahali sahihi kuchat kama tulivyozoea kwani huu uzi unahitaji faraja zaidi.
 
True unamjua aiseee.
 
Hornet katika wadada niliokutana nao humu wewe ni jembe namba moja.

Hata sishangai umeweza pia kuandika hilo.

Natamani nipate hata asilimia kumi ya uthubutu unaokuwaga nao.
Babe
Thanks
Wewe pia ni mpambanaji

Naheshimu hustles zako.

Fanya basi lile jambo kesho nipambane[emoji8]
 
Duh ndio kwanza nasikia kwako mkuu, unaweza ukaelezea kama hutojali na sisi tupate kuelewa mkuu
Chukua kwangu, HiV test inapima antibodies! Hizi ni kama ngome ya ulinzi kwenye cell hai za binadamu ili kukulinda na magonjwa na endapo zitaonekana kwa wingi kwenye kipimo cha HIV basi kitasoma HIV+

Unapopiga sindano ya chanjo kama Tetanus ujue unaenda kuamsha antibodies ghafla ili incase ya ugonjwa utakapoanza ulinzi uwe tayari. Ndio maana ya chanjo. Sasa ikiwa katika kipindi kile mwili umeamsha antibodies ukaamua kupima HIV ujue kipimo kita detect una Ugonjwa kitasema + hata kama hauna ngoma.

Ukikaa baada ya muda mwili ukaji adjust ukarudi kwenye neutral condition ukirudia test itasoma - ndio maana unaweza ukawa na Malaria, au maradhi yeyote yatakayoamsha antibodies ukatest ukaonekana umewaka ukaanza kula midawa kumbe hauna shida.
 
Babe
Thanks
Wewe pia ni mpambanaji

Naheshimu hustles zako.

Fanya basi lile jambo kesho nipambane[emoji8]
Ungejua nilipotoka saaa hivi acha tu.
Nitakupigia.


Yaani hapa nawaza ningkuea wewe mashosti wote ningewapigia na kilio juu.
Naona mngekuwa mna kama wiki ya kubembeleza [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wewe jembe langu hata sina shida.

Kuna bi shosti mmoja nafikiri unamjua yeye baada ya kupokea majibu presha na kulazwa hapo hapo.
Toka HIV to AIDS stage 6.
Ila si wewe jembe langu.

Purukushani za mzee Rashid hivo virus vitakaa tu pembeni[emoji1787]
 
Mrembo Hornet pole kwa hiyo hali ambayo uko nayo. Siwezi sema nayajua maumivu unayopitia, ila naweza sema i can feel you.

Miaka kadhaa iliyopita, siwezi isahau ile siku. Ilikuwa ni 22/02/2006 siku ya jumatano asubuhi ambapo nilienda kumtembelea jamaa yangu ambaye alikuwa amenizidi sana kiumri, ila alikuwa ananipenda sana.

Nilimkuta ndani kwake anabrash viatu, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi nipo nyumbani kwake. Ila alinikaribisha vzr na chai tulikunywa wote. Jamaa nimchangamfu muda wote. Wakati tunakunywa chai akaniuliza why asubuhia nimedamkia kwake?

Nikamwambia sina pa kwenda broh, licha ya hivyo hatujaonana siku ya 3 leo. Jamaa akacheka, then akasema "Tatizo anko ( alipenda kuniita anko) bado hujaanza mapenzi, ukishakuwa na demu, muda huu ungekuwa kwao". Nikacheka sana kwa kwauli ile, kiukweli demu nilikuwa nae, tunaitana wachumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hiyo mada iliisha,tukapiga story zingine, ila nikataka kujua mbona amekuwa hadimu kwa siku 3 mfululizo?. Alichoniambia jamaa, ndio ninataka wewe dada yangu Hornet pia ukijue. Jamaa aliniambia "Anko juzi kuna mtu alipata ajali, akawa anauhitaji wa damu, nikaamua kumtolea damu ila kwa bahati mbaya damu yangu imekutwa na maambukizi ya HIV".

Nilishangaa sana. Kilichonishangaza sio kauli aliyoniambia, ila ni jinsi alivyoniambia. Jamaa hakuwa na wasiwasi hata kidogo. Hata alipomaliza niambia vile, akanyanyua kikombe cha chai na kunywa as if tunaongelea mpira. Wasi wasi nilikuwa nao mimi ila sio yeye.

Anko akaendelea niambia "Najua unachowaza anko, kwamba siponi, kwamba nakufa. Lakini anko mimi wala hayo sio ninayowaza" Akaendelea "Anko imani yangu inaniambia nitakufa baada ya kufanikisha kitu ambacho nimekuwa nakipigania sana tokea zamani, nacho unakijua anko.

Jamaa wakati yupo sekondari, yeye na wazee wake walifukuzwa kwenye nyumba waliyokuwa wanakaa sababu ya kodi, miezi karibia mi3 walikuwa wanalala kibarazani, baadae wakauza vitu vyao na kupanga chumba ambacho walikaa wazee wake, yeye akawa anajishikiza kwa jamaa zake.

Jamaa hakufanikiwa kumaliza shule sababu ya msoto. Ila mwaka 2010 alifanikiwa kuwajengea wazee wake kule kijijini nyumba moja nzuri tu, yenye umeme a maji. Novemba mwaka jana jamaa alifariki kwa ajari ya gari baad ya bodaboda aliyokuwa amepanda kugongwa na fuso.

Ninachotaka kukwambia dada yangu Hornet kwamba, ukiachana afya njema, kitu kingine kikubwa sana kinachofanya tuendelee kuishi ni HOPE. Katika maisha unaruhusiwa kupoteza vitu vyote, ila never lose HOPE, as we are nothing without hope.

Take it easy. Wherever there is hope, there is life.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ukwae ww ndio uje na hiz habar za "aah wa kawaida tu"
Sio hivyo najaribu kuweka mazingira sawa na kuondoa hofu.

Kwa nini tunaogopa HIV ? sababu kubwa tunaamini ukipata HIV utakufa, lakini kwani bila hiyo HIV utaishi milele jibu ni hapana,

Sasa kwa nini uwe na wasiwasi , labda kama ingekuwa kupata HIV huwezi ishi maisha ya kawaida.

Lakini kwa kuwa ukipata HIV bado waweza endelea ishi kawaida basi hakuna haja ya kuwa na wasiwasi sana na kukata tamaa.

Mwisho wa yote tuchukue tahadhari ugonjwa bado upo.
 
Asante sana

Andiko Lako limejaa matumaini

Nina amani Maisha yanaendelea.

Wanaopiga vijembe na kuweka vikao wanapoteza muda tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…