Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Huyo kolo anazinguaga sana sijui ni Ndigidii!Take it easy budda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kolo anazinguaga sana sijui ni Ndigidii!Take it easy budda
Donge kubwa kama dole gumba hatari sana hiiBaba hio ndio kanuni ujue! Kula maini kitozi tu life tamu sana mzee bora tukutane na visukari huku baadae ila sio kuanza kula minjingu ujanani 🤣
Huwenda alipitamo boss. Sasa anajiliwaza kwa kusema ngwengwe ni ya kawaidaMkuu mbona umepaniki?
Duh ndio kwanza nasikia kwako mkuu, unaweza ukaelezea kama hutojali na sisi tupate kuelewa mkuuImemtokea my blood brother nae huwa anapima pima mara kwa mara na kazi zake ni za machuma chuma.
Alijikata na bati akaenda pigwa tetanus, after one day anaenda test ngoma anakuja kwa masikitiko kuwa yuko HIV+ nikamwambia tulia, jipe time hio kitu ulipiga juzi ina mess na antibodies. Baada ya week akaenda test upya kitu HIV-
Sawa mkuu, tafuna kwa tahadhari pia.Hamnaa mkuu...hapo najaribu tu kukuambia tusiache kuwatafuna haijalishi tumewakuta wapii[emoji1787][emoji1787]
Kumbe huduma ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ilichelewa hivi. Ila nimekumbuka mama mmoja naambiwa aliolewa na mume positive ana watoto wanne, wa kwanza aliolewa. Wakati yupo grade 7 nipo grade 2, mwaka 2007 hiyo. Yupo anadunda ila mwanamichezo mzuri sana.Na hawa ni wengi zaidi.
Wengi walizaliwa hapo 1990-2015 wakati hamna dawa za kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
Wengi saivi ndo hawa warembo na mabrazameni wanadunda tu.
Tumekosea sana, tumeeleweka isivyo.Hornet samahani sana kama nitakua nimekukwaza ila i thought kuchat na watu katika uzi wowote ni jambo ambalo sio geni. Ila naona kama imekuwa ishu sana mpaka nakuwa attacked,,, i'm bouncing!
True unamjua aiseee.Wewe ni Shujaa, na wee ni mwanamke wakipekee sana.
Nachoweza kuhakikishia, Haupo pekeako humu JF na huko nje ya JF.
Upekee na ubora wako ni ulivoamua kutumia ID YAKO HALISIA kuandika jambo hili.
Nakuhakikishia kwa kufanya ivi ,
[emoji117]Umejilinda wewe mwenyewe
[emoji117]Umewalinda unaowapenda.
WanaJF, nakazia hapaaa
Hornet kwa ukubwa wa umri na akili yake anaposema USIMPIME MTU KWA MACHO ANAAMANISHA.
Msimtazame mtu na kumwamin kwa macho sababu Ana enda Gari, ana nyumba, anavaa vzuri, anakazi, ana kila kitu ambacho kinamfanya aonekane Bora hata kufikia hatua ya kumwachia haki juu yako.
Sio kwamba huyu mdada hajui ninani ?
Anajua sababu ni mtu alokua anapima mara kwa mara toka awali, bahati mbaya alikosea kumwamini mtu ambaye kwa mwonekano namaisha yake yalimfanya aamini mzima.
Nasema ivi kwa sababu HORNET SIO MWANAMKE MALAYA, SIO MWANAMKE WA KWENDA SABABU YA PESA, NI MWANAMKE MHANGAIKAJI WA MAISHA, NA NI MTAFUTAJI WA PESA ZAKE MWENYEWE.
Nihitimishe kwa haya machache
[emoji117]Kama unaakili timamu, utakubaliana na Hornet kua Ujumbe alokusudia kuufikisha ndani ya Jamii hiii hii ya JF ,umefika, mwenye masikio na macho na aone, afahamu na kuchukua Hatua.
Chukua kwangu, HiV test inapima antibodies! Hizi ni kama ngome ya ulinzi kwenye cell hai za binadamu ili kukulinda na magonjwa na endapo zitaonekana kwa wingi kwenye kipimo cha HIV basi kitasoma HIV+Duh ndio kwanza nasikia kwako mkuu, unaweza ukaelezea kama hutojali na sisi tupate kuelewa mkuu
Ungejua nilipotoka saaa hivi acha tu.Babe
Thanks
Wewe pia ni mpambanaji
Naheshimu hustles zako.
Fanya basi lile jambo kesho nipambane[emoji8]
Sio hivyo najaribu kuweka mazingira sawa na kuondoa hofu.Ukwae ww ndio uje na hiz habar za "aah wa kawaida tu"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole ya nin mkuu?Pole ndugu yetu Hazard
Asante sanaMrembo Hornet pole kwa hiyo hali ambayo uko nayo. Siwezi sema nayajua maumivu unayopitia, ila naweza sema i can feel you.
Miaka kadhaa iliyopita, siwezi isahau ile siku. Ilikuwa ni 22/02/2006 siku ya jumatano asubuhi ambapo nilienda kumtembelea jamaa yangu ambaye alikuwa amenizidi sana kiumri, ila alikuwa ananipenda sana.
Nilimkuta ndani kwake anabrash viatu, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi nipo nyumbani kwake. Ila alinikaribisha vzr na chai tulikunywa wote. Jamaa nimchangamfu muda wote. Wakati tunakunywa chai akaniuliza why asubuhia nimedamkia kwake?
Nikamwambia sina pa kwenda broh, licha ya hivyo hatujaonana siku ya 3 leo. Jamaa akacheka, then akasema "Tatizo anko ( alipenda kuniita anko) bado hujaanza mapenzi, ukishakuwa na demu, muda huu ungekuwa kwao". Nikacheka sana kwa kwauli ile, kiukweli demu nilikuwa nae, tunaitana wachumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hiyo mada iliisha,tukapiga story zingine, ila nikataka kujua mbona amekuwa hadimu kwa siku 3 mfululizo?. Alichoniambia jamaa, ndio ninataka wewe dada yangu Hornet pia ukijue. Jamaa aliniambia "Anko juzi kuna mtu alipata ajali, akawa anauhitaji wa damu, nikaamua kumtolea damu ila kwa bahati mbaya damu yangu imekutwa na maambukizi ya HIV".
Nilishangaa sana. Kilichonishangaza sio kauli aliyoniambia, ila ni jinsi alivyoniambia. Jamaa hakuwa na wasiwasi hata kidogo. Hata alipomaliza niambia vile, akanyanyua kikombe cha chai na kunywa as if tunaongelea mpira. Wasi wasi nilikuwa nao mimi ila sio yeye.
Anko akaendelea niambia "Najua unachowaza anko, kwamba siponi, kwamba nakufa. Lakini anko mimi wala hayo sio ninayowaza" Akaendelea "Anko imani yangu inaniambia nitakufa baada ya kufanikisha kitu ambacho nimekuwa nakipigania sana tokea zamani, nacho unakijua anko.
Jamaa wakati yupo sekondari, yeye na wazee wake walifukuzwa kwenye nyumba waliyokuwa wanakaa sababu ya kodi, miezi karibia mi3 walikuwa wanalala kibarazani, baadae wakauza vitu vyao na kupanga chumba ambacho walikaa wazee wake, yeye akawa anajishikiza kwa jamaa zake.
Jamaa hakufanikiwa kumaliza shule sababu ya msoto. Ila mwaka 2010 alifanikiwa kuwajengea wazee wake kule kijijini nyumba moja nzuri tu, yenye umeme a maji. Novemba mwaka jana jamaa alifariki kwa ajari ya gari baad ya bodaboda aliyokuwa amepanda kugongwa na fuso.
Ninachotaka kukwambia dada yangu Hornet kwamba, ukiachana afya njema, kitu kingine kikubwa sana kinachofanya tuendelee kuishi ni HOPE. Katika maisha unaruhusiwa kupoteza vitu vyote, ila never lose HOPE, as we are nothing without hope.
Take it easy. Wherever there is hope, there is life.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Maisha ndio kwanza yanaanza mrembo. Keep up your plans.[emoji120]Asante sana
Andiko Lako limejaa matumaini
Nina amani Maisha yanaendelea.
Wanaopiga vijembe na kuweka vikao wanapoteza muda tu.
Huu utani uzoee tu, uzuri wake wewe mwelewa sana[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole ya nin mkuu?