My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Furahia maisha sasa kuliko kipindi chochote kwenye maisha yako. Fanya yale mambo ambayo ulikua hujawahi kuyafanya before, kama kusafiri sehem ambazo hujafika, cheza michezo ambayo hujawahi kuicheza before, jaribu kufanya interesting things ambazo hujawahi kufanya before
there is nothing to fear.
 
Hongera sana

Kwanza kwa kuijua hali yako lakini pia kwa kujikubali.

Ni heri sasa utajua namna ya kutunza afya yako vizuri.

Hali hiyo haitishi kama zamani, kuwa na furaha vile vile, hakuna jipya kabisa
Shukrani dear
 
Furahia maisha sasa kuliko kipindi chochote kwenye maisha yako. Fanya yale mambo ambayo ulikua hujawahi kuyafanya before, kama kusafiri sehem ambazo hujafika, cheza michezo ambayo hujawahi kuicheza before, jaribu kufanya interesting things ambazo hujawahi kufanya before
there is nothing to fear.
Asantee [emoji8]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom