My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Yes Hornet mimi
HIV


HIV, ninaye jamaa yangu ana zaidi ya 25 yrs since he was first diagnosed with HIV. Nowadays it is no longer a threat as long as you don't smoke and drink and keep on using the protection during "kale kamchezo" while using ARV drugs.

Kuna watu nchi hii wanataka kutuharibia; wanawaita hao wanaotengeneza ARV drugs: Mabeberu, siku wakigoma kuleta hizo dawa, tumekwisha.
 
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno,

Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno,
nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

my take ;
usimpime Mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.
Keep your spirit high, mimi nina bro wangu anao huu mwaka wa 19 na yuko fresh tu kiasi kwamba uwa hospital wanamwambia yuko vizuri kama vile hana hiyo mambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom