My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Shukuru una kiba100 ungekoma
 
Achana nae huyu dada yangu Hornet
 
We jamaa ni kumma ujue, af wayback naonaga una michongo ya kuleta shobo za kiwaki ila nakuchuniaga tu! Serious trouble inahusiana vipi na mie kuchat na wana? Kama pole tushampa mbona unakuwa kama unachochwa arifu?
Ahaaahaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

We jamaa una mitusi si ya nchi hii[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
 
Ila huu ugonjwa bana. Kwa nini hao virusi wenyewe huwa hawaonekani katika vipimo kama hawa wa Korona na virusi vinginevyo? Kuna ishu gani hapa?
 
Leo mapengo mwenzangu umekuwa mtakatifu ee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…