Chukua kwangu, HiV test inapima antibodies! Hizi ni kama ngome ya ulinzi kwenye cell hai za binadamu ili kukulinda na magonjwa na endapo zitaonekana kwa wingi kwenye kipimo cha HIV basi kitasoma HIV+
Unapopiga sindano ya chanjo kama Tetanus ujue unaenda kuamsha antibodies ghafla ili incase ya ugonjwa utakapoanza ulinzi uwe tayari. Ndio maana ya chanjo. Sasa ikiwa katika kipindi kile mwili umeamsha antibodies ukaamua kupima HIV ujue kipimo kita detect una Ugonjwa kitasema + hata kama hauna ngoma.
Ukikaa baada ya muda mwili ukaji adjust ukarudi kwenye neutral condition ukirudia test itasoma - ndio maana unaweza ukawa na Malaria, au maradhi yeyote yatakayoamsha antibodies ukatest ukaonekana umewaka ukaanza kula midawa kumbe hauna shida.