My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwani glucose inaongeza nguvu za kiume?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba pombe zimenimaliza au [emoji1787]
 
umemuumbua vilivyo, watu wanafiki sana wakija hapa ndio wa kwanza mara pole mara sijui nini, ukifukua kaburi uko nyuma ni wa se nge na wanafiki wakutupwa, ndio walikua wa kwanza kum beza Hornet
pumbav zao
Kuna watu ninawasitiri sana humu, ni wsnafiki kupitiliza.
Walituhukumu bure kwani hawakujua chanzo cha mazungumzo yetu
 
Buraza buraza buraza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. nijazilizie nyama kwenye Antibodies hapo.....Antibodies zinazalishwa kulingana na ugonjwa (vijidudu) husika. ..yani Antibodies zinazalishwa kulingana na ugonjwa unaoingia...so, jila ugonjwa na antibodies zake.

Ukiwa na Malaria, Antibodies zitakuwa za kupigana na Malaria tu. Sio kwamba kila ugonjwa antibodies zinazozalisha ni zile zile, Sio.
 
kua nahamu ya kufanya ngono kila wakati, ni Umalaya ?? ( Unganisha Mdomo wako na Kichwa ).


Katika ule uzi, nachokumbuka, Nilikemea ingawa ni kwa lugha ya ukali suala zima la Kutoka nje ya ndoa.

Mwandishi alisema ameolewa, lkn anahamu ya mara kwa mara ?..

Na iko ndio kilipelekea nitumie lugha ya ukali sanaa , kwa ufupi na kwa wakati ule ulikua ni USHAURI TOSHA Kabisa ambao wala HAPAKUA NA LUGHA LAINI YAKUTOSHA KUTUMIKA ZAIDI YA LUGHA HIYO.




WEWE UNAHISI MTOA NI MALAYA ?? AU HAMU YAKE YA KUFANYA NGONO NDIO IMEMPLEKEA ????.


MTOA MADA KAJILAUMU KWA KUMWAMINI MTU KWA MACHO, NAKWENDA NAYE KAVU SABABU ALIMZOEA .


ANGEKUA MALAYA, WEEE UMEWAHI MTOMBA????


SASA KUMUAMINI MTU KWA MACHO NAKUACHA KINGA, KUNAENDANA NA KUA NAHAMU YA NGONO MARA KWA MARA ???????


Unaweza kua huna hamu ya ngono, lkn hutumii ndom..

Unaweza kua unayo hamu lkn unatumia ndom mara zote na humwamini mtu kwa macho.


SASA KWA AKILI YAKO KATILA HAYO MAWILI, MTOA MADA NIWAPI AMESIMAMIA???



UNADHAN HAMU YA NGONO MARA KWA MARA NDIO ITAMUONDOKA SABABU ANAISHI KWA MATUMAIN??????...


NAKA HAPANA, NINI UNADHAN ATAKIFANYA KAMA SIO KUHAKIKISHA ANATUMIA NDOM, NA KUWAPENDA WATU KAMA HIVI ALIOFANYA??????.



WANGAPI WANGAPI WAPO HUMU KAZI YAO KUUNGUZA WATU KIMYA KIMYA WANAUME NA WANAWAKE ?????




[emoji117][emoji117][emoji117]Tuendelee, uzuri mpo humuhumu, mwisho wa huu uzi, Kitajulikana , sio kwamba hawa wanawake mlichowafanyia humu, na kuwaambukiza magonjwa sababu waliwapenda na kuwaamini wao ni wajinga.

[emoji117][emoji117]mmewafanya wameachana na ID, wamekimbia, wamekuja nampya n.k yote kwa yote sababu wanawake ni watu wanoumia nabado WANAKAA KIMYA KUWATUNZIA HESHIMA ZENU NA UOGA WAO KUTENGWA NA KUNYANYAPALIWA HUMU HATA WANAAMUA KUJIKALIA KIMYA WATU WA WATU

LAKINI UKWELI UNABAKI PALEPALE KUA MMEWAUMIZA SANA NA UKIMWI WANAWAKE WA JF.
 
Kwanini uliangalia upande wa kucheat pekee?
Lengo la uzi alileta kama tatizo kwake na anshitaji msaada aachane na hali hiyo.
Kinyume chake uliishia kumkejeli.
Kwanini hukuona kuwa anahitaji msaada?
Je hujui hili tatizo alilolipata chanzo kikuu ni tatizo?
Kwasasa unajifanya mshauri lakini haisaidii japo ulipata fursa ya kumsaidia...tena ni sehemu ya taaluma yako.
Maneno mengi hayawezi kubadili ukweli kuwa wabongo wanejaa unafiki mkubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unapenda ujiko sana wewe
Khaaaarrrggghhhh ndio manini hayo??? Jambo ambalo halina faida yoyote kwangu lann??? Yaaan niongee sababu ya kutafuta ujiko???? Wann?? Ili iweje ???



Ninaowaweza nawaweza, na tutaenda kichwa kichwa hilo haliwez badilika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…