Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hapa umeongea bonge la point kuwa nawe ni mdhaifu tu kama mimi.Aahhh acha mkwara ,hamna wa kuumizwa wala nn.
Unajua nipp hivi..nyeupe ni nyeupe ,nyeusi ni nyeusi .
Na huwa nachangia kulingana na kilichopo .
Mtu pekee wakuumizwa niyule ambaye anapenda kusikiliza yale yanayompendelea tu nahao ni aina ya waty wadhaifu sana.
Kwaiyo Mkuu usijitahidi kunichora kama Kijana fulani ivi muumizaji ..
Mengine ni mapungufu ambayo hata wewe unayo na ambayo hayawezi kukuondolea uhalisia wako.
Siku njema.
Uachaga misifa kupita kiasi[emoji1]