ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Mkuu life halipo fair kabisa, au wewe unaona ni sawa tu mkuu?Kwanini sio fair Mkuu wangu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu life halipo fair kabisa, au wewe unaona ni sawa tu mkuu?Kwanini sio fair Mkuu wangu?!
DaaadeqKomredi....
Huyu mchuchu kasema yuko positive.
Ila hajasema ni ‘positive’ kwa lipi!
Au labda mimi ndo sijaona alipotaja ni positive kuhusu nini?
taarifa za chini kwa chini wew ndo mmiliki mtambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole ya nin mkuu?
Bondeni ni wapi mkuu ?
SawaaaHongera sana
Kwanza kwa kuijua hali yako lakini pia kwa kujikubali.
Ni heri sasa utajua namna ya kutunza afya yako vizuri.
Hali hiyo haitishi kama zamani, kuwa na furaha vile vile, hakuna jipya kabisa
Imesema hivi
"Mimi Paula binti Pauli nakupenda sana wewe Asprin Bin ODM, hivi kwanini huelewi lakini?"
Sasa nahisi inanidanganya, au ni kweli Paula wangu
CC: Mshenga Kaizer kwa taarifa na ufuatiliaji
Mnajuana physically sio?Wewe ni Shujaa, na wee ni mwanamke wakipekee sana.
Nachoweza kuhakikishia, Haupo pekeako humu JF na huko nje ya JF.
Upekee na ubora wako ni ulivoamua kutumia ID YAKO HALISIA kuandika jambo hili.
Nakuhakikishia kwa kufanya ivi ,
[emoji117]Umejilinda wewe mwenyewe
[emoji117]Umewalinda unaowapenda.
WanaJF, nakazia hapaaa
Hornet kwa ukubwa wa umri na akili yake anaposema USIMPIME MTU KWA MACHO ANAAMANISHA.
Msimtazame mtu na kumwamin kwa macho sababu Ana enda Gari, ana nyumba, anavaa vzuri, anakazi, ana kila kitu ambacho kinamfanya aonekane Bora hata kufikia hatua ya kumwachia haki juu yako.
Sio kwamba huyu mdada hajui ninani ?
Anajua sababu ni mtu alokua anapima mara kwa mara toka awali, bahati mbaya alikosea kumwamini mtu ambaye kwa mwonekano namaisha yake yalimfanya aamini mzima.
Nasema ivi kwa sababu HORNET SIO MWANAMKE MALAYA, SIO MWANAMKE WA KWENDA SABABU YA PESA, NI MWANAMKE MHANGAIKAJI WA MAISHA, NA NI MTAFUTAJI WA PESA ZAKE MWENYEWE.
Nihitimishe kwa haya machache
[emoji117]Kama unaakili timamu, utakubaliana na Hornet kua Ujumbe alokusudia kuufikisha ndani ya Jamii hiii hii ya JF ,umefika, mwenye masikio na macho na aone, afahamu na kuchukua Hatua.
Jawi pole sana rafiki, wa nyumbani mwenzangu...Mungu akupe nguvu.karibu
Hahhaha nimekukamata leo huku, and if yes na mimi naomba niungane na nyieHornet are you serious?
If yes, naomba na mimi nifanye niwe + kama ww
Dah pole sister ila sikuizi hakuna stigma na zile dawa zimefanya mtu anaeishi na HIV virus kuwa na afya bora. Ishi maisha yako kwa amani tele ukiendelea kuifurahia dunia.
Maisha yanaendelea kama kawa,nina ndugu zangu walizaliwa HIV positive saizi wako early 20s na wana afya bora kabisa.Anaweza kuendelea kuzagamuliwa kama kawaida?
Navyowajua mabaharia watakuambia haya maneno tu hata kwenye kanga yapo....Habari zenu wote?
Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,
Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.
Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.
My take ;
Usimpime mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.
#lets stay positive.