My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Komredi....

Huyu mchuchu kasema yuko positive.

Ila hajasema ni ‘positive’ kwa lipi!

Au labda mimi ndo sijaona alipotaja ni positive kuhusu nini?
Daaadeq

Komred yawezekena nimeingia cha kike?

Nazeeka vibaya, ngoja nikasome upya.

Inaweza akawa positive kwenye mimba wallah
 
Hongera sana

Kwanza kwa kuijua hali yako lakini pia kwa kujikubali.

Ni heri sasa utajua namna ya kutunza afya yako vizuri.

Hali hiyo haitishi kama zamani, kuwa na furaha vile vile, hakuna jipya kabisa
Sawaaa
 
Wewe ni Shujaa, na wee ni mwanamke wakipekee sana.

Nachoweza kuhakikishia, Haupo pekeako humu JF na huko nje ya JF.

Upekee na ubora wako ni ulivoamua kutumia ID YAKO HALISIA kuandika jambo hili.


Nakuhakikishia kwa kufanya ivi ,
[emoji117]Umejilinda wewe mwenyewe

[emoji117]Umewalinda unaowapenda.



WanaJF, nakazia hapaaa

Hornet kwa ukubwa wa umri na akili yake anaposema USIMPIME MTU KWA MACHO ANAAMANISHA.


Msimtazame mtu na kumwamin kwa macho sababu Ana enda Gari, ana nyumba, anavaa vzuri, anakazi, ana kila kitu ambacho kinamfanya aonekane Bora hata kufikia hatua ya kumwachia haki juu yako.

Sio kwamba huyu mdada hajui ninani ?

Anajua sababu ni mtu alokua anapima mara kwa mara toka awali, bahati mbaya alikosea kumwamini mtu ambaye kwa mwonekano namaisha yake yalimfanya aamini mzima.

Nasema ivi kwa sababu HORNET SIO MWANAMKE MALAYA, SIO MWANAMKE WA KWENDA SABABU YA PESA, NI MWANAMKE MHANGAIKAJI WA MAISHA, NA NI MTAFUTAJI WA PESA ZAKE MWENYEWE.


Nihitimishe kwa haya machache

[emoji117]Kama unaakili timamu, utakubaliana na Hornet kua Ujumbe alokusudia kuufikisha ndani ya Jamii hiii hii ya JF ,umefika, mwenye masikio na macho na aone, afahamu na kuchukua Hatua.
Mnajuana physically sio?
 
Duh pole, ila wewe nibora kuliko hilo gonjwa jipende sanaaa
 
Dah pole sister ila sikuizi hakuna stigma na zile dawa zimefanya mtu anaeishi na HIV virus kuwa na afya bora. Ishi maisha yako kwa amani tele ukiendelea kuifurahia dunia.
 
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

My take ;
Usimpime mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.
Navyowajua mabaharia watakuambia haya maneno tu hata kwenye kanga yapo....
Wataomba game kama kawa
 
Wewe upo kila jukwaa na hadithi zako za kusadikika, mara nimekitana na mkaka Mwendokasi nimempenda mara kila saa nnasikia ham ya kuliwa mara nimepima kwendraaa kifaduro
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom