Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
wew huwa unaelewa anavoviandika huyo jamaa? sijawahi kumwelewa.hakuna kitu kinachoitwa HIV ni propaganda tu za wazumgu.fanya mambo uako endelea na maisha yako usije ukadanganyika ukaingia kwenye mtego wao wa kuw mteja wa kudumu wa vile vidonge
Deception
anachoongea huyo jamaa ndio ukweli halisiwew huwa unaelewa anavoviandika huyo jamaa? sijawahi kumwelewa.
Duh ...mm namwonaga ni km advance version ya Don.anachoongea huyo jamaa ndio ukweli halisi
Inashangaza.Kwa miongozo inayotumika sasa hivi ukipima na kukutwa na maambukizi unaanza dawa haraka iwezekanavyo baada ya kufanyiwa vipimo vya viral load, CD4, liver and renal profiles pamoja na full blood picture, imekuwaje wewe hukupitia utaratibu huu?
Ha ha ha....Duuuh kuna watu mnajua mpaka mnakera
Baba wa watu USHAMUUUA Maskini dah...Habari zenu wote?
Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,
Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.
Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.
My take ;
Usimpime mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.
#lets stay positive.
umejuaje hajaniua yeye?Baba wa watu USHAMUUUA Maskini dah...
Anyway UHAI NI BORA ,NA USHAURI WA DAKTAR NI BORA ZAID ILI KULINDA AFYA.]View attachment 1583991
2017
View attachment 1583992
hahahaahahahahahahhahahahaha...***** mkuu mi mwanaume acha ufala wa kikenge..
Wewe ni tatizo kwa jamii! Na hapa chini umesema nini:-Hujafa,sijasema umemuua....I LOVE YOU TO THE END OF TJE WORLD
Btw, nini kilikusukuma kufukua threads zake za nyuma?! Ulikuwa unajaribu ku-verify nini hasa?!Baba wa watu USHAMUUUA Maskini dah...
Thank you.Wewe ni tatizo kwa jamii! Na hapa chini umesema nini:-
Btw, nini kilikusukuma kufukua threads zake za nyuma?! Ulikuwa unajaribu ku-verify nini hasa?!
Man, I hate to say this but to be honest, your soul is fake!!
Mm sijamchukia ila nilimwambia nampenda,ila wewe unasema unanichukia kwa hoja tu,wakat hunifaham au namfaham vipi, mpk unaenda mbali kusema my soul is fake,that's ridiculous.Your soul is too weak.Thanks though kwa Ku re-quoteWewe ni tatizo kwa jamii! Na hapa chini umesema nini:-
Btw, nini kilikusukuma kufukua threads zake za nyuma?! Ulikuwa unajaribu ku-verify nini hasa?!
Man, I hate to say this but to be honest, your soul is fake!!
Wapi nimesema "nakuchukia"?! Na wapi nimesema umesema unamchukia?!Mm sijamchukia ila nilimwambia nampenda,ila wewe unasema unanichukia kwa hoja tu,wakat hunifaham au namfaham vipi, mpk unaenda mbali kusema my soul is fake,that's ridiculous.Your soul is too weak.Thanks though kwa Ku re-quote
Jamaa alikula kavu sio?!Watu wanasema tuu, eti ukimwi ni kama malaria lkn kukubaliana na ugonjwa huu sio rahisi kihivyo
Mkuu hongera kwa ujasiri huu, mie nilimuamin mtu akanifanyia ndivyo sivyo, nilikaa mwaka mzima naogopa kupima
Mwezi uliopita nimepima nipo negative, nikamtumia msg pamoja na yote nashukuru hukunipa ukimwi ππππ
Sasa hivi akili imenikaa sawa.
Tusipimane kwa macho
Ilikua skin to skinJamaa alikula kavu sio?!
Ila wanawake hampendi kutumia kuunga kabisaIlikua skin to skin
Kweli mie nilikia mmoja waoIla wanawake hampendi kutumia kuunga kabisa
Tafuta hela uondoe msongo wa hasira,ili uelewe kuwa unaweza kumpenda mtu na ukamwambia ukweli mchungu.NmemalizaWapi nimesema "nakuchukia"?! Na wapi nimesema umesema unamchukia?!
Nasema your soul is fake kwa sababu mtu umemwambia kabisa kwamba amemuua mumewe halafu unajifanya kukana!! Na kama hiyo haitoshi, bado unaenda kufukua threads zake za nyuma ili kujaribu kuhusisha thread husika na kuathirika hapo kwake na hapo hapo unajifanya kusema unampenda baada ya kukuuliza unajuaje kwamba hajaambukizwa na mumewe!!
So, it might be ridiclous or my soul is weak but I repeat, your soul is fake kwa sababu umejaa unafiki! Huwezi kumtuhumu mtu kumuua mumewe halafu anakuuliza una uhakika gani, hapo hapo unakana na kudai unampenda!!