Wapi nimesema "nakuchukia"?! Na wapi nimesema umesema unamchukia?!
Nasema your soul is fake kwa sababu mtu umemwambia kabisa kwamba amemuua mumewe halafu unajifanya kukana!! Na kama hiyo haitoshi, bado unaenda kufukua threads zake za nyuma ili kujaribu kuhusisha thread husika na kuathirika hapo kwake na hapo hapo unajifanya kusema unampenda baada ya kukuuliza unajuaje kwamba hajaambukizwa na mumewe!!
So, it might be ridiclous or my soul is weak but I repeat, your soul is fake kwa sababu umejaa unafiki! Huwezi kumtuhumu mtu kumuua mumewe halafu anakuuliza una uhakika gani, hapo hapo unakana na kudai unampenda!!