My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Acha umbeya
Nyie ndo mnafany watu washindwe kuongelea matatizo yao KWA tafsiri zenu.

So mnahisi uzi niliweka kutafuta mwanaume?
Mtaani wamekosekana?

Kama yupo mwanaume niliemjibu pm juu ya ule uzi aje aweke wazi

If that will make you a man enough.

Kwakweli now mkweli hornet...hujui unyanyapaa inaanzia zaidi hapa jf. .Bora umemjibu...nimesoma comments zake Sana kwa kina kwakweli nikabaki naumia tu moyo...yaani imekua kosa ghafla .! Watu jamani
 
Eeeh hatari

Isiwe tu kwenye Lori[emoji23][emoji23]

Poa ntakuchek basi
Yule dada nimemkuta.
Hips zote zimemuisha.
Wallah nimemuonea imani.
[emoji1787][emoji1787]
 
Yule dada nimemkuta.
Hips zote zimemuisha.
Wallah nimemuonea imani.
[emoji1787][emoji1787]
Inabidi tumuunge Jf

Sasa Kuna maboya humu yanataka kuniweka levels za yule.

Aisee huu ubuyu wa kukupandia hewani
 
Inabidi tumuunge Jf

Sasa Kuna maboya humu yanataka kuniweka levels za yule.

Aisee huu ubuyu wa kukupandia hewani
Ngoja nifike nitakupigia.
Nimeuonea huruma sana.
Tumeongea mda mrefu.
Yaani lile hips kila nikilikumbuka [emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi hata akipita hastui
 
Tumekosea sana, tumeeleweka isivyo.
Kulikuwa na haja ya kuzingatia aina ya uzi tuliopo, hapa kumbe sio mahali sahihi kuchat kama tulivyozoea kwani huu uzi unahitaji faraja zaidi.

Huna ustaarabu hata kidogo...huna nasema...usipende kujifanya msafi shit happens...chukua angalizo Basi ..sionkuanza kumnyanyapaa mtu kisa aloweka Uzi zake .khaa grow up
 
Ngoja nifike nitakupigia.
Nimeuonea huruma sana.
Tumeongea mda mrefu.
Yaani lile hips kila nikilikumbuka [emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi hata akipita hastui
Au alikuwaga anavaa kigodoro? [emoji23][emoji23]

Pole yake wanaume siyo watu wazuri[emoji9]
 
Kumbe huduma ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ilichelewa hivi. Ila nimekumbuka mama mmoja naambiwa aliolewa na mume positive ana watoto wanne, wa kwanza aliolewa. Wakati yupo grade 7 nipo grade 2, mwaka 2007 hiyo. Yupo anadunda ila mwanamichezo mzuri sana.
Sore mkuu ni 2005 sio 2015.
 
Siamini ksma umekurupuka kiasi hiki, mimi nilimuuliza Extrovert kama aliwahi kuuona uzi kabla, na tulichokuwa tuna jadili hskihusiani na uzi huu ispokuwa stori za kufanana.
Dikutarajia ungekurupuka kiasi hiki kuninyooshea kidole
Huna ustaarabu hata kidogo...huna nasema...usipende kujifanya msafi shit happens...chukua angalizo Basi ..sionkuanza kumnyanyapaa mtu kisa aloweka Uzi zake .khaa grow up
Mkuu uliuonaga uzi?
Dah bora tumepona braza
 
Siamini ksma umekurupuka kiasi hiki, mimi nilimuuliza Extrovert kama aliwahi kuuona uzi kabla, na tulichokuwa tuna jadili hskihusiani na uzi huu ispokuwa stori za kufanana.
Dikutarajia ungekurupuka kiasi hiki kuninyooshea kidole
[QUOTEHaoana

Kwahiyo ule Uzi wewe Kama wewe unasemaje? Mbona mnapenda kuhukumu namna hiyo jamani?let's be positive ....yaani mtu asiandike feelings zake bas mshaanza kuulizana oya ulienda pm!? Huoni km ni unyanyapaa...hebu kuweni wastaarabu....! Hadi kuja kuandika hapa anahutaji faraja lakini waja mmeanza kusengenya...! Shame..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom