My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Wewe ni tahira.
Embu jipige kifua sema "mimi ni tahira mkuu"
Nimecheka sana, ajipigepige kifua aseme, "mimi ni taahira mkuu". Mkuu amu umenivunja mbavu huwezi amini.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ila kiukwel watu weng hawatumii ndomu..amin hilo...mim huu ni mwaka wa 3 si.tomb bila ndom na niko makin sana

Sili de.nda kijinga..nahakikisha sjajichubua na mswak...

Nikishave sit.ombi had zipite siku 4 maana najua ukishave lazima ujikate kdgo hata kama hutoona

Kiufupi mim nina Phd ya kutumia ndomu
Bado sio solution hiyo
 
Daah leo mtakatifu Wangari umenivamia kweli kweli, hii ni jf lkn.
Usitumie nguvu kubwa isiyo na sababu

Wewe ndo umejifanya mtakatifu ..soma vzr comments zenu uone Kama mhusika anajiskiaje...! Then wasome wanaume wenzako huko juu uone walichoandika..bye
 
Siku hizi ugonjwa huu wala sio wa aibu wala kutisha kama awali.
Hakuna familia ambayo haijaguswa kwa namna moja au nyingine na ugonjwa huu.
Ugonjwa hatari ni cancer na kisukari na sio huu kwa siku hizi
Hakika, sukari, saratani, hypertension+moyo, haya kwa sasa ndio magonjwa. Mtu akikuambia ana saratani ndio basi tena, and the thing with saratani, hadi ijiachie uijue ujue ishafika panapo na safari inakaribia. I don't see HIV kuwa ugonjwa tishio, naona hofu na wasiwasi ukimaliza watu ila sio ugonjwa.
 
Hakika, sukari, saratani, hypertension+moyo, haya kwa sasa ndio magonjwa. Mtu akikuambia ana saratani ndio basi tena, and the thing with saratani, hadi ijiachie uijue ujue ishafika panapo na safari inakaribia. I don't see HIV kuwa ugonjwa tishio, naona hofu na wasiwasi ukimaliza watu ila sio ugonjwa.
Ni kweli kabisa, tena wenye HIV wana afya za kuvutia kuliko wasio nao.
Siku hizi ni ngumu sana kumtambua mwenye Hiv na asiye nayo
 
Nawaona wababa mnavyo sutana humu.
Nawaona members wanavyo mnyanyapaa mleta mada bila hata aibu....
Nawaona members wanavyo jifanya wasafi na wakamilifu....
Nawaona members wanavyo jitoa ufahamu kana kwamba kwenye familia zao hakuna walio ambukizwa HIV....
Nawaona members wanavyo mhukumu mleta post kana kwamba yeye ndie mtenda dhambi sana.....
Nakuhakikishia, hao ni wakupuuza kabisa.

KAMA KUNA MWANAJF ANAYETAKIWA KUPEWA TUZO YA HESHIMA NA KUTUKUKA BASI Hornet ANAFAA 100%.



Hiki kitendo chake tu mbele ya jamii ambayo inamjua kama "Hornet" kinaenda kuokoa watu wengi sana humu ndani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom