My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
bado unayo nafasi ya kupambania ndoto zako,,,, na mwenzio je?
 
Wewe umepima au una ushujaa kama wangu? Mi kupima labda greda la Manispaa lije linizoe linipeleke kwa mpimaji. Na mpimaji awe amekamata AK47 mtutu kauelekeza kwenye medula oblangata... Afu chupa kubwa ya K Vant iwe inaniangalia kwa huzuni...

Nimecheka sana we mzee bwana
 
Halafu onasemekana vile vidonge ndo kabuli lenyew kuna mdau alidai hivo, akasema ndo sababu walevi wengi hawafi mapema kwa sababu hawazingatii ratiba ya dozi
umenikumbusha juzi amoeba wamenikamata, nikameza dawa siku moja tu, nilipoikumbuka baileys nikajisemea kwani hawa amoeba hawaogopi hydroxyl group
 
Leo nimegundua kuwa JF watu ni wazuri na wenye ustaarabu Sanaa Kwa tatizo la mwenzao.

Wengi wametoa pole na ushauri mzurii sanaa.

Kwako Dadangu polee Sanaa ndio maisha
Wanasema kila Nafsi itaonja mauti.

Nakila mtu ana mauti yakee.

Pia ishi katika Imani Kwa Dini yako.

Hope utapokea Sanaa kila ulistahilipo.

I love you sanaaa kipenziii
 
Af
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

My take ;
Usimpime mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.

Afu sijui kwanin napendaga the way uko!

Love you alot!
 
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

My take ;
Usimpime mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.
Pole sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom