Pole sana mkuu.Mimi nina siku 10 tokea tumemzika baba angu mzazi mjukuu wake alimuona kupitia whatsapp video call ilikuwa mwezi huu wa 9 nimpelekee akamuone mjukuu ila ndo ivo kifo hakina huruma
[emoji1756][emoji1317]Pole sana mkuu
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Karibu ktk chama cha yatima na pole
I lost my father in 2001
I lost my mother in 2007
Yatima kitambo sana
[emoji1317][emoji1317][emoji1317]Pole sana EINSTEIN112
Duh!!! Mbona hatari sana mkuuPole sana, MUNGU ni mwema siku zote, mshukuru tu.
Mimi nimepoteza wazazi wote ndani ya wiki mbili mwaka huu.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Kuna vitu ni rahisi kujiuliza maswali ila ni magumu kuyapatia majibu
najua kwa sasa ni magumu na itakuwa ngumu kwako kusahau. Ila muda utakufundisha kuishi na hizo kumbukumbu pasipo kukuumiza kama sasa
Mungu akutie nguvu
[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]Pole sana mkuu.
Mshukuru Mungu walikuwepo wote mpaka mlipofikia hatua ya kujitegemea na hata kuona wajukuu zao.
Mungu awape nguvu na faraja.
Asante sana mkuuPole mkuu
Pole sana Ndugu yangu, Mwenyezi Mungu awatie nguvuTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th September both are Saturdays
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana yaani naona km nikifuta ananiambia sasa unaniacha kabisa.Pole sana mkuu, mm nimempoteza mzee wangu toka 2016 sikuwahi futa namba yake na hata baada ya kupoteza & kubadili simu bado namba yake ipo kichwani,
Pumzika kwa amani Baba.
Pole sana EINSTEIN112 Mungu akufariji pamoja na familia yakoTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana ndugu yangu, tumuombee tu ajaliwe Rehema.Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumuTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole! Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi!Pole sana ndugu..
Mie mwenyewe sina baba wala mama, mana yangu kafariki mwaka jana August,...Nimeshindwa kupona kabisa yaani..