TANZIA My dad is gone

TANZIA My dad is gone

Kuna vitu ni rahisi kujiuliza maswali ila ni magumu kuyapatia majibu

najua kwa sasa ni magumu na itakuwa ngumu kwako kusahau. Ila muda utakufundisha kuishi na hizo kumbukumbu pasipo kukuumiza kama sasa

Mungu akutie nguvu
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Pole sana mkuu.

Mshukuru Mungu walikuwepo wote mpaka mlipofikia hatua ya kujitegemea na hata kuona wajukuu zao.

Mungu awape nguvu na faraja.
[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year and today is 4th September both are Saturdays

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana Ndugu yangu, Mwenyezi Mungu awatie nguvu
 
Pole sana mkuu, mm nimempoteza mzee wangu toka 2016 sikuwahi futa namba yake na hata baada ya kupoteza & kubadili simu bado namba yake ipo kichwani,
Pumzika kwa amani Baba.
Pole sana yaani naona km nikifuta ananiambia sasa unaniacha kabisa.
 
Pole sana mkuu, yanatokea kwa kila mtu, usiyachukulie binafsi
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year and today is 4th

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom