TANZIA My dad is gone

TANZIA My dad is gone

Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Inna Lillah wa Inna iLayhi Rajeaun

Mola amlaze pema.. Poleni sana.
FYI, kama ww mwanaume basi Ujue ndo kwanza umezaliwa na wewe ni Baba kuangalia ukoo.
Pambana.. utabarikiwa kwa mengi...
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana,
Nilipokuwa mdogo,still a teen,nilimuuliza mama kuhusu wazazi wake(bibi na babu),akaniambia(kwa utani( hata yeye ni yatima maana hana baba,nikajiuliza anawezaje kuishi bila baba harafu akawa na furaha!!nilikuwa sijuhi itakuwaje siku baba yangu akifa.
2019 baba akafa,nilipopewa taarifa,nilikuwa hm peke yangu,nililia Richa ya kuwa ni mtu mzima na Nina watoto!sikuwa karibu na dingi,lakini kitendo Cha kuambiwa hayupo,inaleta mshituko,kwa vile hutamuona Tena!!?na experience ambayo haizoeleki.
Pole wafiwa.
 
Pole sana ndugu.Tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu na cha mpito.
Mwenyezi Mungu akutie nguvu.
 
Back
Top Bottom