Pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu. Mimi nimempoteza Mzee wangu tarehe 23 last month, alikuwa mgonjwa kwa miaka saba wa stroke ya upande wa kushoto lakini alikuwa anajimudu.Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Ni kweli kabisa mkuu,Pole sana mkuu, ila kumbuka kushukuru kwa kila jambo na shukuru kwa kila neno
Naomba nilete story flani chapchap;
Kuna pastor alienda kweny msiba wa mzaz wa mtu flani, sasa kweny msiba wakati anaomba yule pastor akasema "nakushukuru muumba kwa sababu mtu huyu hatunaye tena maana asingeli kufa sijui nn kingetokea", yule jamaa aliefiwa akakasirika kwa maneno ya yule pastor, akaazimia rohoni mwake amuue yule pastor, kuna siku akamkaribisha yule pastor na familia yake nyumbani kwake kulikuwa na sherehe ya Huyo jamaa. Kumbe jamaa amepanga kumwekea sumu yule pastor na familia ake kweny msosi wao, saa za kula sasa wanataka kula yule pastor na familia ake pale mezani, Simu yake pastor ikaita alivopokea akapata taarifa mtoto ake ambae hakuwepo kweny hio sherehe amepata ajali bhana na yupo mahututi, ilibidi waache kula wakimbilie hospitali, walivofika hospital walikuta kijana wake amefariki. Siku ya msiba ulivofika yule pastor akatamka maneno yaleyale akasema " nakushukuru muumba kwa sababu mtu huyu hatunaye tena maana asingeli kufa sijui kingetokea nn" yule jamaa aliopanga kuwawekea sumu acha aanze kulia machozi maana hapo ndipo alipoelewa maana ya ile sentensi
Pole sana Mkuu! Nami mwaka huu nimekuwa kama Wewe! Kuwa Yatima hakuzoeleki hata! Wapumzike kwa Amani Marehemu wetu!Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Daaaah pole Sana nawe mkuu inshaalah Mungu ampe kauli thabiti huko aendakoPole sana mkuu, Mungu akutie nguvu. Mimi nimempoteza Mzee wangu tarehe 23 last month, alikuwa mgonjwa kwa miaka saba wa stroke ya upande wa kushoto lakini alikuwa anajimudu.
Alipochoma chanjo siku ya tatu tu akaanza kupata homa na sukari kupanda. Within a week tukampoteza, hapa bado niko msibani yani.
Nilisema mkuu angalia uzi unaitwa " lini mara ya mwisho kumwambia mzazi/ mlezi wako nakupenda?"Pole baba ila hukusema lolote kuhusu Status ya afya ya mzee before, labda tungechelewesha kuondoka kwake hapa duniani!
Lakini usihuzunike status aliyopo sasa wote tungeijua hakuna ambaye angeogopa kifo..
Pole sana mkuu,kila jambo lina maana yake kwa Mungu,mshukuru kwa kila jambo...Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole mkuu but I'm drowning in my tears [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mimi nina siku 10 tokea tumemzika baba angu mzazi mjukuu wake alimuona kupitia whatsapp video call ilikuwa mwezi huu wa 9 nimpelekee akamuone mjukuu ila ndo ivo kifo hakina huruma
Dah ni huzuni sana mkuu nakutakia pole sana chief! Ni ngumu sana ni pigo ila ndio maisha yalivyoTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
[emoji1756]We cannot find all answers we seek my dear brother.
And that is where staunch belief in God comes in, that He knows best.
Deepest condolenses Dear.
pole sana mkuuTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Ayubu 19:26-27 NENPole sana mkuu, ila kumbuka kushukuru kwa kila jambo na shukuru kwa kila neno