TANZIA My dad is gone

TANZIA My dad is gone

Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu. Mimi nimempoteza Mzee wangu tarehe 23 last month, alikuwa mgonjwa kwa miaka saba wa stroke ya upande wa kushoto lakini alikuwa anajimudu.
Alipochoma chanjo siku ya tatu tu akaanza kupata homa na sukari kupanda. Within a week tukampoteza, hapa bado niko msibani yani.
 
So sorry for the lost. May their souls Rest in Eternal Peace. May God give you strength in this mourning season
 
Pole sana mkuu, ila kumbuka kushukuru kwa kila jambo na shukuru kwa kila neno
Naomba nilete story flani chapchap;
Kuna pastor alienda kweny msiba wa mzaz wa mtu flani, sasa kweny msiba wakati anaomba yule pastor akasema "nakushukuru muumba kwa sababu mtu huyu hatunaye tena maana asingeli kufa sijui nn kingetokea", yule jamaa aliefiwa akakasirika kwa maneno ya yule pastor, akaazimia rohoni mwake amuue yule pastor, kuna siku akamkaribisha yule pastor na familia yake nyumbani kwake kulikuwa na sherehe ya Huyo jamaa. Kumbe jamaa amepanga kumwekea sumu yule pastor na familia ake kweny msosi wao, saa za kula sasa wanataka kula yule pastor na familia ake pale mezani, Simu yake pastor ikaita alivopokea akapata taarifa mtoto ake ambae hakuwepo kweny hio sherehe amepata ajali bhana na yupo mahututi, ilibidi waache kula wakimbilie hospitali, walivofika hospital walikuta kijana wake amefariki. Siku ya msiba ulivofika yule pastor akatamka maneno yaleyale akasema " nakushukuru muumba kwa sababu mtu huyu hatunaye tena maana asingeli kufa sijui kingetokea nn" yule jamaa aliopanga kuwawekea sumu acha aanze kulia machozi maana hapo ndipo alipoelewa maana ya ile sentensi
Ni kweli kabisa mkuu,
Inabidi tumshukuru Mungu pia hata katika magumu,hatujui angewaacha hao wapendwa nini kingewakumba..
Sometimes Anaamua kuwapumzisha wapendwa wetu kwa makusudi yake na mapenzi yake japo sisi tunaweza ona Mungu anatuumiza.

Katika hali ya kiubinadamu ni ngumu mno kushukuru,hasa kama uliuguza mzazi na akaondoka kama hivyo,,ni ngumu mno,waliopitia hili wanaelewa vizuri.

Lakini ukikaa na kutafakari Neno kuna tumaini jipya linakuja,na kujua tu kuwa Mungu ni pendo na siku ipo tutawaona wapendwa wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana Mkuu! Nami mwaka huu nimekuwa kama Wewe! Kuwa Yatima hakuzoeleki hata! Wapumzike kwa Amani Marehemu wetu!
 
Pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu. Mimi nimempoteza Mzee wangu tarehe 23 last month, alikuwa mgonjwa kwa miaka saba wa stroke ya upande wa kushoto lakini alikuwa anajimudu.
Alipochoma chanjo siku ya tatu tu akaanza kupata homa na sukari kupanda. Within a week tukampoteza, hapa bado niko msibani yani.
Daaaah pole Sana nawe mkuu inshaalah Mungu ampe kauli thabiti huko aendako
 
Pole baba ila hukusema lolote kuhusu Status ya afya ya mzee before, labda tungechelewesha kuondoka kwake hapa duniani!
Lakini usihuzunike status aliyopo sasa wote tungeijua hakuna ambaye angeogopa kifo..
Nilisema mkuu angalia uzi unaitwa " lini mara ya mwisho kumwambia mzazi/ mlezi wako nakupenda?"
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana mkuu,kila jambo lina maana yake kwa Mungu,mshukuru kwa kila jambo...
 
Mimi nina siku 10 tokea tumemzika baba angu mzazi mjukuu wake alimuona kupitia whatsapp video call ilikuwa mwezi huu wa 9 nimpelekee akamuone mjukuu ila ndo ivo kifo hakina huruma
Pole mkuu but I'm drowning in my tears [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Dah ni huzuni sana mkuu nakutakia pole sana chief! Ni ngumu sana ni pigo ila ndio maisha yalivyo
 
Pole sana mkuu, ila kumbuka kushukuru kwa kila jambo na shukuru kwa kila neno
Naomba nilete story flani chapchap;
Kuna pastor alienda kweny msiba wa mzaz wa mtu flani, sasa kweny msiba wakati anaomba yule pastor akasema "nakushukuru muumba kwa sababu mtu huyu hatunaye tena maana asingeli kufa sijui nn kingetokea", yule jamaa aliefiwa akakasirika kwa maneno ya yule pastor, akaazimia rohoni mwake amuue yule pastor, kuna siku akamkaribisha yule pastor na familia yake nyumbani kwake kulikuwa na sherehe ya Huyo jamaa. Kumbe jamaa amepanga kumwekea sumu yule pastor na familia ake kweny msosi wao, saa za kula sasa wanataka kula yule pastor na familia ake pale mezani, Simu yake pastor ikaita alivopokea akapata taarifa mtoto ake ambae hakuwepo kweny hio sherehe amepata ajali bhana na yupo mahututi, ilibidi waache kula wakimbilie hospitali, walivofika hospital walikuta kijana wake amefariki. Siku ya msiba ulivofika yule pastor akatamka maneno yaleyale akasema " nakushukuru muumba kwa sababu mtu huyu hatunaye tena maana asingeli kufa sijui kingetokea nn" yule jamaa aliopanga kuwawekea sumu acha aanze kulia machozi maana hapo ndipo alipoelewa maana ya ile sentensi
Ayubu 19:26-27 NEN

Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; mimi nitamwona kwa macho yangu mwenyewe: mimi, wala si mwingine. Tazama jinsi moyo wangu unavyomtamani sana!
 
Back
Top Bottom