EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #161
Amina mkuu hasa mstari wa7Pole Sana ndugu kwa kimpotezs baba. Wafilipi 4:6-7 na iwafarijini wafiwa nyote.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Pole sana Mkuu! Nami mwaka huu nimekuwa kama Wewe! Kuwa Yatima hakuzoeleki hata! Wapumzike kwa Amani Marehemu wetu!
Amina mkuuDaaaah pole Sana nawe mkuu inshaalah Mungu ampe kauli thabiti huko aendako
AsantePole sana mkuu,kila jambo lina maana yake kwa Mungu,mshukuru kwa kila jambo...
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1317][emoji1317][emoji1317]Pole sana Mkuu. Mungu amjaalie marehemu BABA pumziko la amani.
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
[emoji1756][emoji1756][emoji1317][emoji1317]Dah ni huzuni sana mkuu nakutakia pole sana chief! Ni ngumu sana ni pigo ila ndio maisha yalivyo
[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]Pole sana watu wengi sana wamepoteza wazee wao hii miaka miwil 2020 & 2021 nadhan covid imechangia ongezeko la vifo hiv ingawa cjui wako wamfarik na kitu gan. Tuwalinde wazee wetu.
Asante sana mkuuPole sana, kwa sisi tuliopoteza wazazi wote wawili na kuanza uyatima tunakuelewa, ni balaa sana ila taratibu mtu hupata unafuu, sema mara moja moja utajikuta hali ya simanzi inakuibukia hata baada ya miaka kumi, haususan kama ulikua na ukaribu nao.
Amina[emoji1317][emoji1317][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Pole sana kaka, Mwenyezi Mungu akutie nguvu sana kwa mtihani huu kaka. Nakuombea faraja na nguvu aisee [emoji120]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
[emoji1317][emoji1756][emoji1756] Asante sana mkuuPole mkuu wangu na wote mliopoteza wazazi wenu,ndugu jamaa na marafiki inaumiza sana kuwapoteza watu tuwapendao ila nature ndio inaforce kwa nguvu zote
Inatupasa kukaza mioyo yetu Ili kukabiliana na vipindi vigumu na vya mpito Kama Hivi
Muweni hodari ndani ya mioyo yenu katika kipindi kigumu ndugu zanguni
R.I.P
We acha tuDah pole Sana mkuu
Karibu ktk chama cha yatima na poleTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana, MUNGU ni mwema siku zote, mshukuru tu.Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana mkuu. Kifo sio kitu chepesi kuzoeleka hasa anapofariki mtu wako wa karibu. Mungu awape faraja.Pole mkuu Mimi nimezika baba juzi, nilijikaza ila nimelia sana.
Ila sioni neno yatima kama unalitumia vizuri.
1. Wewe ni mtoto I mean under 18? au neno yatima ni sahihi hata kwa babu wa miaka 100 aliyefiwa na wazazi wake?