TANZIA My dad is gone

TANZIA My dad is gone

Pole sana watu wengi sana wamepoteza wazee wao hii miaka miwil 2020 & 2021 nadhan covid imechangia ongezeko la vifo hiv ingawa cjui wako wamfarik na kitu gan. Tuwalinde wazee wetu.
[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
Pole sana, kwa sisi tuliopoteza wazazi wote wawili na kuanza uyatima tunakuelewa, ni balaa sana ila taratibu mtu hupata unafuu, sema mara moja moja utajikuta hali ya simanzi inakuibukia hata baada ya miaka kumi, haususan kama ulikua na ukaribu nao.
Asante sana mkuu
 
Pole mkuu wangu na wote mliopoteza wazazi wenu,ndugu jamaa na marafiki inaumiza sana kuwapoteza watu tuwapendao ila nature ndio inaforce kwa nguvu zote
Inatupasa kukaza mioyo yetu Ili kukabiliana na vipindi vigumu na vya mpito Kama Hivi

Muweni hodari ndani ya mioyo yenu katika kipindi kigumu ndugu zanguni

R.I.P
[emoji1317][emoji1756][emoji1756] Asante sana mkuu
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana, MUNGU ni mwema siku zote, mshukuru tu.
Mimi nimepoteza wazazi wote ndani ya wiki mbili mwaka huu.
 
Kuna vitu ni rahisi kujiuliza maswali ila ni magumu kuyapatia majibu

najua kwa sasa ni magumu na itakuwa ngumu kwako kusahau. Ila muda utakufundisha kuishi na hizo kumbukumbu pasipo kukuumiza kama sasa

Mungu akutie nguvu
 
Pole sana mkuu.

Mshukuru Mungu walikuwepo wote mpaka mlipofikia hatua ya kujitegemea na hata kuona wajukuu zao.

Mungu awape nguvu na faraja.
 
Pole mkuu Mimi nimezika baba juzi, nilijikaza ila nimelia sana.

Ila sioni neno yatima kama unalitumia vizuri.

1. Wewe ni mtoto I mean under 18? au neno yatima ni sahihi hata kwa babu wa miaka 100 aliyefiwa na wazazi wake?
Pole sana mkuu. Kifo sio kitu chepesi kuzoeleka hasa anapofariki mtu wako wa karibu. Mungu awape faraja.
 
Back
Top Bottom