Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
poleni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa kupoteza wazazi.Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Maneno yako yamenigusa[emoji120]Pole kwa kupoteza wazazi.
Mara nyingi huwa tunajiuliza haya maswali, ni kwa sababu ya ubinadamu wetu. Ila jua tu hata Mungu angekuambia leo usingeelewa. Yeye anaona mwisho tangu mwanzo. Sisi tunaona kidogo sana. Yeye anajua yote, sisi tunajua katone kadogo sana. Akili zake hazina mwisho sisi hata chalinze hazifiki.
Kwa muktadha huu hatuwezi kumwelewa, si kwa nini amewachukua wazazi wako tu bali hata kwa nini aliruhusu wawe wazazi wako na sio uzaliwe kwingineko.
Cha msingi umshukuru Mungu kwa zawadi ya wazazi wako, waliokulea vizuri mpaka ukatamani wasiondoke. Kuna wengine hawakuwaona wazazi wao, wengine walikataliwa na wazazi wao na wengine hawajui hata wazazi wao ni akina nani.
Mwenye shamba kavuna shamba lake, ni nani wa kumhoji?
Pole Sana,did you manage to tell him that you loved him???Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Aamen....!!Poleni sana Mkuu. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahala pema, Amina.