Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .