My date didn’t show up

My date didn’t show up

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
 
Sio kwamba hakujq, itakuwa alifika mpaka hapo akakuthaminisha pengine kwa mtazamo wake akaona hukufikia matajio yake, hivyo akasepa.
 
Hivi Kuna Mwanaume anaweza kukataa first date?

Ama alikuta umeshaagiza Mazaga zaga ya 300k na ushee huko halafu yeye akakuta ana hela pungufu ya hiyo hivyo akaamua kurara mbere...

Kuna Binti nilimuonea huruma yalimkuta hayo restaurant moja hapa Mjini.

Hakuwa na hela ila vitu alivyoagiza vilikuwa ni zaidi ya 120k, jamaa akajifanya kwenda chooni na hakurudi tena.

Yule Binti alilazimika kuweka bond simu yake
 
Back
Top Bottom