My date didn’t show up

My date didn’t show up

Ladies,

Rule No. 1, usiende date ukiwa huna sumni iwe cash, kwenye simu ama account yako, ama una uhakika kabisa huna backup plan, hata kama unatoka na mpenzi wako sababu lolote linaweza tokea wakati wowote na msaada wako ukahitajika na ukawa huna jambo, the worst can happen anytime..!!

Rule No. 2, usiagize vitu ambavyo wewe mwenyewe huna uwezo wa kulipia kabla your date hajafika, usijaribu..! Na hata akifika shauriana naye kwanza mkubaliane, na pia tumia ule ubinadamu tu wa kufikiria what if hiyo pesa hana, tupunguze ile tamaa ya kike, vingine muachie yeye mwenyewe achague aone kabisa kwamba he can afford ndiyo aitishe..!!
Wa hivi ni wachache mkuu, watu wanakomoa. Kushauriana ni muhimu sana.
 
Umezunguka sana kuweka hili tangazo,yani mpaka umetembeza na chai kabisa hapa!
Wewe weka tu bei yako,wateja wa mbususu watakufuata PM.
 
I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Unampenda na huto kakupata vizuri baada ya mwezi tu anakukula tena bila wasi wasi.
 
Hivi Kuna Mwanaume anaweza kukataa first date?

Ama alikuta umeshaagiza Mazaga zaga ya 300k na ushee huko halafu yeye akakuta ana hela pungufu ya hiyo hivyo akaamua kurara mbere...

Kuna Binti nilimuonea huruma yalimkuta hayo restaurant moja hapa Mjini.

Hakuwa na hela ila vitu alivyoagiza vilikuwa ni zaidi ya 120k, jamaa akajifanya kwenda chooni na hakurudi tena.

Yule Binti alilazimika kuweka bond simu yake
Mabaharia walikutana
 
I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Hajiamini huyo 😅
 
Nilikuja nikakuona umepauka ikabidi niingie mitini
 
Sasa hapo kwa mu Australia mbona ume tu forwardia tu, hatujaona mchezo ulivyoenda?

Halafu wa Australia ujue hawana mchezomchezo, mimi nishafanya kazi nao nawajua.
 
Sasa hapo kwa mu Australia mbona ume tu forwardia tu, hatujaona mchezo ukivyoenda?

Halafu wa Australia ujue hawana mchezomchezo, mimi nishafanya kazi nao nawajua.
Mbona unataka kumtisha mtoa mada Mkuu 😜

Wazungu huwa wanasema hakuna chai ya bure

Huenda mtoa mada alikutwa na jambo 😅
 
Ladies,

Rule No. 1, usiende date ukiwa huna sumni iwe cash, kwenye simu ama account yako, ama una uhakika kabisa huna backup plan, hata kama unatoka na mpenzi wako sababu lolote linaweza tokea wakati wowote na msaada wako ukahitajika na ukawa huna jambo, the worst can happen anytime..!!

Rule No. 2, usiagize vitu ambavyo wewe mwenyewe huna uwezo wa kulipia kabla your date hajafika, usijaribu..! Na hata akifika shauriana naye kwanza mkubaliane, na pia tumia ule ubinadamu tu wa kufikiria what if hiyo pesa hana, tupunguze ile tamaa ya kike, vingine muachie yeye mwenyewe achague aone kabisa kwamba he can afford ndiyo aitishe..!!
.
Nikazie kwenye rule no 2, kiustaarabu hutakiwi kuagiza dish au kinywaji expensive kuliko anayeku-treat.
.
Best way ni kusibiri yeye aagize then uagize ndani ya bajeti yake au chini.
 
Back
Top Bottom