ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Au jf mkuu 🤣🤣Utakuwa ilimpata dating site....Tinder, Badoo ,Tan tan, Tagged na zinazofanana nazo.
Huko kuna Wala mbususu wengi kuliko wenye Nia. Pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au jf mkuu 🤣🤣Utakuwa ilimpata dating site....Tinder, Badoo ,Tan tan, Tagged na zinazofanana nazo.
Huko kuna Wala mbususu wengi kuliko wenye Nia. Pole sana.
Wa hivi ni wachache mkuu, watu wanakomoa. Kushauriana ni muhimu sana.Ladies,
Rule No. 1, usiende date ukiwa huna sumni iwe cash, kwenye simu ama account yako, ama una uhakika kabisa huna backup plan, hata kama unatoka na mpenzi wako sababu lolote linaweza tokea wakati wowote na msaada wako ukahitajika na ukawa huna jambo, the worst can happen anytime..!!
Rule No. 2, usiagize vitu ambavyo wewe mwenyewe huna uwezo wa kulipia kabla your date hajafika, usijaribu..! Na hata akifika shauriana naye kwanza mkubaliane, na pia tumia ule ubinadamu tu wa kufikiria what if hiyo pesa hana, tupunguze ile tamaa ya kike, vingine muachie yeye mwenyewe achague aone kabisa kwamba he can afford ndiyo aitishe..!!
Unampenda na huto kakupata vizuri baada ya mwezi tu anakukula tena bila wasi wasi.I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Mabaharia walikutanaHivi Kuna Mwanaume anaweza kukataa first date?
Ama alikuta umeshaagiza Mazaga zaga ya 300k na ushee huko halafu yeye akakuta ana hela pungufu ya hiyo hivyo akaamua kurara mbere...
Kuna Binti nilimuonea huruma yalimkuta hayo restaurant moja hapa Mjini.
Hakuwa na hela ila vitu alivyoagiza vilikuwa ni zaidi ya 120k, jamaa akajifanya kwenda chooni na hakurudi tena.
Yule Binti alilazimika kuweka bond simu yake
Hajiamini huyo 😅I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Nilikuja nikakuona umepauka ikabidi niingie mitiniI had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Sasa hapo kwa mu Australia mbona ume tu forwardia tu, hatujaona mchezo ulivyoenda?I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Hahaha.........nadhani huwa wanafanya makusudiMabaharia walikutana
NjaaHahaha.........nadhani huwa wanafanya makusudi
Kwani kwenye first date wakiagiza Kahawa/Maji ama Juice Kuna shida hadi waagize msosi na vinywaji vya 120k 🙌
Mbona unataka kumtisha mtoa mada Mkuu 😜Sasa hapo kwa mu Australia mbona ume tu forwardia tu, hatujaona mchezo ukivyoenda?
Halafu wa Australia ujue hawana mchezomchezo, mimi nishafanya kazi nao nawajua.
Kwa kweli aiseeNjaa
hahahahah umetishahata ndani hua siingii,,na kam n sehem ya wazi hata andazi siagizi aseee,, natoka nyumbani npo zangu full ugali 🙌🏾🙌🏾
Hahaha......wanajilipa jasho lao.Kwa kweli aisee
Ndiyo maana Vijana wa hovyo huwa wanawapakia mkongo kabisa 😜🙌
Unakuwa unaogopa nini Mjukuu 🤗hata ndani hua siingii,,na kam n sehem ya wazi hata andazi siagizi aseee,, natoka nyumbani npo zangu full ugali 🙌🏾🙌🏾
Kuna Vijana wa hovyo hapa JF niliwahi kuwasikia wakisema hadi wasikie harufu ya mishikaki 🙌Hahaha......wanajilipa jasho lao.
.Ladies,