My ex anataka kuvunja uchumba wangu.

kwa nn unakuwa karibu nae mpk anaingilia mambo yako inaonekana na wewe bado unampenda ndio maana huko nae karibu na mie nahisi uliporudi ulitembea nae ndio maana anakuganda jifunze kutupa jongoo na mti wake sio unatupa jongoo mti wake unabaki nao ndio matokeo yake hayo
 
kwa nn unakuwa karibu nae mpk anaingilia mambo yako inaonekana na wewe bado unampenda ndio maana huko nae karibu na mie nahisi uliporudi ulitembea nae......
cjwah kufanya hivyo ndugu namweshimu sana mchumba wangu.
 

oa wake wawili kama vipi
 
chunga sana akibeba mimba ndo mkeo tena kwani lazima ataleta vurugu kwa mchumba ako
 
Chagua toka moyoni unayempenda. Usijekuwa humpendi mchumba wa sasa. Kama wampenda mchumba wako. Kata mawasiliano yote na huyo wazamani.
 

Mpe mimba uone.
 
umbal tu.
Basi inaelekea bado mnapendana nyinyi umbali sio kigezo kabisa.Tatizo mlikutana wote mna viherehere mkakosa uvumilivu.Ana haki ya kukwambia bado anakupenda umecheat naye kacheat.Think twice.
 
Mmh, jina lako limekaa kike na mada imekaa kike

Mwanamme unatishiwa kuvunjiwa uchumba na mwanamke??
 
Looks like unainterest na huyo dada,kama haumtak mtu hautokosa njia ya kumpotezea mpaka mwenyewe atajshtukia..!zaa nae huyo x na mchumba wako atapata mimba ya X na we ndo utalea,nashndwa kuelewa kwann mtu unaendekeza X
 
Yaani hapo unaomba ushauri wa nini sasa? Wewe ndo mwenye uamuzi wa yupi unampenda zaidi na atakayekufaa kuwa mwenza wa maisha. Suala la kuzaa na mtu!!!!! Hilo kataa kwa nguvu zote ukikubali tu ujuwe hata ukimwoa yule mwingine hata huyu atakuwa mkeo tu. Atakuwa anatumia kisingizio cha kuomba matunzo ya mtoto au kuleta mtoto amwone baba yake na hapo mahusiano yataendelea kama kawaida. Na zaidi ya hapo hilo litayumbisha ndoa yako sana. Kwa hiyo wewe shika mmoja tu, kwani mshika mbili moja humponyoka. HAPO AKILI MU KICHWA MDOGO WANGU.
 

Akili yako kama avatar yako vile.
 
MPAKA sasa namkataa ila amekuwa msumbufu sana mpaka nyumban wamejua

SASA KAMA UMEMKATAA HUKU UMEKUJA KUTAKA WAKUSHAURI NINI UZINI????
 

Kijanaaaaaaaaaaaaaa huyu mdada usifikiri yeye mjinga, kama alishakuchosha mkiwa bado hamjaungana sasa mkiunganishwa na mtoto si ndio atakupwetesha. Anataka kutumia jeuri ya nyani kula indi bichi, hapa swala sio mimba tuu yaani siku utakayojaribu kurudia mchezo hata utumie ndomu 10 bado ujiandae kulea mimba. Kuna jamaa yangu aliombwa gemu la kuagana baada ya demu kugundua jamaa kajishika pa ukweli yaani ameshaoa yule waliye kuwa wanaagana na ilitokana na kitisho cha mimba na msichana kuhusisha ndg ambao wana vitengo vyao hapa bongo lendi. Sasa kama unajidai umeshavua nguo oga uone cha mtemakuni.
 
Kwa maelezo yako inaonekana kila utakapokuwa umeenda mbali na mpenzi wako mtakauwa mmeachana. Pole sana mi sina cha kukushauri. Ila kuwa makini na magonjwa ya zinaa tu.
 
kaka jaribu uone,usumbufu utakaoupata hutausahau maishani,hiyo ni gelesha tu,mkishazaa atakwambia mtoto anataka kuwa karibu na baba,mara anaumwa,na usumbufu mwingine mwingi tu,kama umeamua kumuoa uliyenaye kaa na msimamo huo huo na usikaribishe mahusiano ya karibu na huyo ex wako kwani ipo siku utategwa nawe kuingia kichwa kichwa na mtaanza kumpa shida mkeo.mkimbie ibilisi.
 
Muta hebu jichunguze vizuri yawezekana unampenda huyo ex wako ila hujajua. Nasema hivyo kwa sababu mpaka kitendo cha kuleta hapa jamvini upate msaada yamkini una vi-feeling kwa huyo ex. Fanya maamuzi mara moja. Jichunguze kama wampenda au la. Ukijua jibu ni lipi fanya uamuzi haraka sana bila ya kurudi nyuma. Once decided twice confirmed.
Sawa bwana Muta?
 

Ni sawa sawa na mahabusu mkorofi kumuambia poilisi...'ukinifungua pingu, nitatulia wala sitakimbia'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…