- Thread starter
- #21
asante sanaThis is your private business. Hayatuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sanaThis is your private business. Hayatuhusu.
no tulikuwa wapenz tu.na wala hatukuwah kuzungumzia suala na mdoa mi na yyAnakuganda kwani alikuwa mkeo wa ndoa?
cjwah kufanya hivyo ndugu namweshimu sana mchumba wangu.kwa nn unakuwa karibu nae mpk anaingilia mambo yako inaonekana na wewe bado unampenda ndio maana huko nae karibu na mie nahisi uliporudi ulitembea nae......
Salamu wanajamvi.polen na shughul za maisha kwa wale wanaoumwa polen sana na Mungu awawekee mkono mpone haraka.Polen Watanzania wote na wapenda aman wa nchi hii ktk hali hii ngumu ya vururgu tunayoipitia Mungu atuepushe na majanga AMEN.
BACK TO MADA:
kama miaka mitatu iliyopita nilikuwa na msichana tulieachana bila ugomvi ila kutokana na umbali baada ya mimi kwenda mkoa mwingine kikaz.tulipoteza mawasiliano na kila mtu akaendelea na maisha mengine kivyake.kwa upande wangu nilipata msichana mwingine na kuanzisha mahusiano na mpaka sasa ni mchumba wangu na tushatambulishana kwa wazaz.
mwaka huu nimepata likizo na kurud mkoan kwetu ambapo nilikutana na my-EX akanambia bado ananipenda na anataka turudishe mapenz nilimkatalia na kumweleza kuwa ninamchumba lakin akasema ameumizwa na wanaume aliokuwa nao hapo nyuma so nikimkataa hato olewa coz mm pekee ndo chaguo lake.MPAKA sasa namkataa ila amekuwa msumbufu sana mpaka nyumban wamejua.Leo hii amekuja na ombi moja kuwa kama sitaki kuwa nae bas ANAOMBA KUZAA NA MM.
amesema nikikubal kumpa mimba bas hatonisumbua tena.PLZ WAKUBWA NISAIDIEN.nawasilisha......

Basi inaelekea bado mnapendana nyinyi umbali sio kigezo kabisa.Tatizo mlikutana wote mna viherehere mkakosa uvumilivu.Ana haki ya kukwambia bado anakupenda umecheat naye kacheat.Think twice.umbal tu.
Yaani hapo unaomba ushauri wa nini sasa? Wewe ndo mwenye uamuzi wa yupi unampenda zaidi na atakayekufaa kuwa mwenza wa maisha. Suala la kuzaa na mtu!!!!! Hilo kataa kwa nguvu zote ukikubali tu ujuwe hata ukimwoa yule mwingine hata huyu atakuwa mkeo tu. Atakuwa anatumia kisingizio cha kuomba matunzo ya mtoto au kuleta mtoto amwone baba yake na hapo mahusiano yataendelea kama kawaida. Na zaidi ya hapo hilo litayumbisha ndoa yako sana. Kwa hiyo wewe shika mmoja tu, kwani mshika mbili moja humponyoka. HAPO AKILI MU KICHWA MDOGO WANGU.Salamu wanajamvi.polen na shughul za maisha kwa wale wanaoumwa polen sana na Mungu awawekee mkono mpone haraka.Polen Watanzania wote na wapenda aman wa nchi hii ktk hali hii ngumu ya vururgu tunayoipitia Mungu atuepushe na majanga AMEN.
BACK TO MADA:
kama miaka mitatu iliyopita nilikuwa na msichana tulieachana bila ugomvi ila kutokana na umbali baada ya mimi kwenda mkoa mwingine kikaz.tulipoteza mawasiliano na kila mtu akaendelea na maisha mengine kivyake.kwa upande wangu nilipata msichana mwingine na kuanzisha mahusiano na mpaka sasa ni mchumba wangu na tushatambulishana kwa wazaz.
mwaka huu nimepata likizo na kurud mkoan kwetu ambapo nilikutana na my-EX akanambia bado ananipenda na anataka turudishe mapenz nilimkatalia na kumweleza kuwa ninamchumba lakin akasema ameumizwa na wanaume aliokuwa nao hapo nyuma so nikimkataa hato olewa coz mm pekee ndo chaguo lake.MPAKA sasa namkataa ila amekuwa msumbufu sana mpaka nyumban wamejua.Leo hii amekuja na ombi moja kuwa kama sitaki kuwa nae bas ANAOMBA KUZAA NA MM.
amesema nikikubal kumpa mimba bas hatonisumbua tena.PLZ WAKUBWA NISAIDIEN.nawasilisha......
weraaaaaaaaaaaaaaaaaa kama alikupenda mbona hakukusubiri hadi urudi hata kama ni baada ya miaka 10,ametembeza kitumbua chake kimeingia mchanga ndo anatafuta maponeo kwako hebu zimua ubongo wako kwa ndofu ufanye maamuzi ya busara bhana hizo akili za kushika pembe achana nazo.tupa kuleeeeeeeeeee