My ex anataka kuvunja uchumba wangu.

kwakwel kwa sasa feeling zote ni kwa mchumba wangu tu.nashukuru sana ntafanya maamuz ya haraka na msing kwa huyu mke wangu mtarajiwa.UBARIKIWE
 
Asante kwa ushaur mzur.
 
nashukuru sana mkubwa nimekupata,hapa nashika kwa huyu mke wangu mtarajiwa.
 
Chagua toka moyoni unayempenda. Usijekuwa humpendi mchumba wa sasa. Kama wampenda mchumba wako. Kata mawasiliano yote na huyo wazamani.
coz nilikuwa nyumban kilikizo na nategemea kuondoka wiki hii,bas ndo mwisho wa kuniona na usumbufu ndo utaisha.
nakushukuru kwa dhat,its the gud advice.
 
Mmh, jina lako limekaa kike na mada imekaa kike

Mwanamme unatishiwa kuvunjiwa uchumba na mwanamke??
rudi untake radhi,niny mnajifanya wababe humu afu nyumban hao wanawake unao wadharau ndo hata huwez kukohoa.
 
Hivi suala la ndoa hasa kwa kina dada limekuwa gumu hivi siku hizi?
 
Nna wasi wasi na mleta maada inawezekana ashakula kimoja cha kumbukumbu halafu demu kakolea halafu huku ana mchumba wanaume tu wadhaifu sana. sema kweli baba na ukweli utakuweka huru
 
Mleta mada acha kujizungusha bana .. Au na wewe wataka kujikumbushia??

Usipokuwa makini kuna mawili either kusingiziwa mimba au kuharibiwa uchumba.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

mapenzi! mapenzi! mapenzi! Mpe haki yake uchukue kopi yako kaka
 
sasa ukizaa nae si ndio utajivisha kitanzi?mteme live bila chenga acha kuremba,kwanza angekua hajakitembeza hapo sawa sasa kakitembeza weeee,hakupata wa kumuoa anataka arudishe kwako,achana nae!
 
Ukimmimba ndo atakubana zaidi na hutaweza muepuka coz mmezaa pamoja
 

Nafikiri hilo ombi lake hata kichaa hawezi kukubali, unapata wapi muda wa kukaa nae kuzungumza ----- wote huo? Unajua wanaume sometimes mnakuwa kama fyatu vile. Mtu ukishaachana nae imetoka mambo ya kukaa kuongea yalishapitwa na wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…