Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekusikiaukthubu2 ata kdogo sababu atakusumbua zaid ata za sa iv
nimekuelewa sana ndugu yangu asante.Ni sawa sawa na mahabusu mkorofi kumuambia poilisi...'ukinifungua pingu, nitatulia wala sitakimbia'!
kwakwel kwa sasa feeling zote ni kwa mchumba wangu tu.nashukuru sana ntafanya maamuz ya haraka na msing kwa huyu mke wangu mtarajiwa.UBARIKIWEMuta hebu jichunguze vizuri yawezekana unampenda huyo ex wako ila hujajua. Nasema hivyo kwa sababu mpaka kitendo cha kuleta hapa jamvini upate msaada yamkini una vi-feeling kwa huyo ex. Fanya maamuzi mara moja. Jichunguze kama wampenda au la. Ukijua jibu ni lipi fanya uamuzi haraka sana bila ya kurudi nyuma. Once decided twice confirmed.
Sawa bwana Muta?
Asante kwa ushaur mzur.kaka jaribu uone,usumbufu utakaoupata hutausahau maishani,hiyo ni gelesha tu,mkishazaa atakwambia mtoto anataka kuwa karibu na baba,mara anaumwa,na usumbufu mwingine mwingi tu,kama umeamua kumuoa uliyenaye kaa na msimamo huo huo na usikaribishe mahusiano ya karibu na huyo ex wako kwani ipo siku utategwa nawe kuingia kichwa kichwa na mtaanza kumpa shida mkeo.mkimbie ibilisi.
nashukuru sana mkubwa nimekupata,hapa nashika kwa huyu mke wangu mtarajiwa.Yaani hapo unaomba ushauri wa nini sasa? Wewe ndo mwenye uamuzi wa yupi unampenda zaidi na atakayekufaa kuwa mwenza wa maisha. Suala la kuzaa na mtu!!!!! Hilo kataa kwa nguvu zote ukikubali tu ujuwe hata ukimwoa yule mwingine hata huyu atakuwa mkeo tu. Atakuwa anatumia kisingizio cha kuomba matunzo ya mtoto au kuleta mtoto amwone baba yake na hapo mahusiano yataendelea kama kawaida. Na zaidi ya hapo hilo litayumbisha ndoa yako sana. Kwa hiyo wewe shika mmoja tu, kwani mshika mbili moja humponyoka. HAPO AKILI MU KICHWA MDOGO WANGU.
coz nilikuwa nyumban kilikizo na nategemea kuondoka wiki hii,bas ndo mwisho wa kuniona na usumbufu ndo utaisha.Chagua toka moyoni unayempenda. Usijekuwa humpendi mchumba wa sasa. Kama wampenda mchumba wako. Kata mawasiliano yote na huyo wazamani.
rudi untake radhi,niny mnajifanya wababe humu afu nyumban hao wanawake unao wadharau ndo hata huwez kukohoa.Mmh, jina lako limekaa kike na mada imekaa kike
Mwanamme unatishiwa kuvunjiwa uchumba na mwanamke??
Akili yako kama avatar yako vile.
Salamu wanajamvi.polen na shughul za maisha kwa wale wanaoumwa polen sana na Mungu awawekee mkono mpone haraka.Polen Watanzania wote na wapenda aman wa nchi hii ktk hali hii ngumu ya vururgu tunayoipitia Mungu atuepushe na majanga AMEN.
BACK TO MADA:
kama miaka mitatu iliyopita nilikuwa na msichana tulieachana bila ugomvi ila kutokana na umbali baada ya mimi kwenda mkoa mwingine kikaz.tulipoteza mawasiliano na kila mtu akaendelea na maisha mengine kivyake.kwa upande wangu nilipata msichana mwingine na kuanzisha mahusiano na mpaka sasa ni mchumba wangu na tushatambulishana kwa wazaz.
mwaka huu nimepata likizo na kurud mkoan kwetu ambapo nilikutana na my-EX akanambia bado ananipenda na anataka turudishe mapenz nilimkatalia na kumweleza kuwa ninamchumba lakin akasema ameumizwa na wanaume aliokuwa nao hapo nyuma so nikimkataa hato olewa coz mm pekee ndo chaguo lake.MPAKA sasa namkataa ila amekuwa msumbufu sana mpaka nyumban wamejua.Leo hii amekuja na ombi moja kuwa kama sitaki kuwa nae bas ANAOMBA KUZAA NA MM.
amesema nikikubal kumpa mimba bas hatonisumbua tena.PLZ WAKUBWA NISAIDIEN.nawasilisha......
kwanini unasema hivyo.
rudi untake radhi,niny mnajifanya wababe humu afu nyumban hao wanawake unao wadharau ndo hata huwez kukohoa.
Nimesema kweli, hupendi?