My Experience with a Fake Female ID apa JF

Lengo lako ilikuwa ni nini hasa....Walahi iko siku utapakatwa,halafu uingiziwe.......unapenda kuwa mwanamke?
 
Miss chaga huyo, anapenda uanauke wakati ni dume, wataku***** shauri yako.
 
Hahahahaaa umeona eeh?
Ngoja nimuwahi PM mwenzangu..
Huu ubuyu mzito.

Eeh Mungu saidia babe asiwe kwenye list,maana hawa wanaume nao sio kabisa.

UBUYU MOOD ACTIVATED😱
 
Chief.... Naomba niwe mgeni wako wa heshima PM kabla hujayaanika hayo mambo hapa jukwaani.
Asante.
 
Hahahahaaa tatizo kaka yangu una ID's 100,uzuri zote nazijua.
Subiri zikitajwa tu,nitakutambua.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Mbavu Zangu Mie! Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha..................!
 
Kaka Na ule mpango wako Na Mr Rocky wakujaribu vile vitu vyembamba sio ndio kuumbuka huku....!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…