My Experience with a Fake Female ID apa JF

Huwa wanaanza polepole hivi hivi, kwanza na female ID.

Halafu utatafuta nguo za kike.

Halafu utatafuta wigi na matiti bandia.

Halafu utatafuta wowowo bandia.

Halafu utataka mwanamme akupakate.

Halafu utataka kufanya operesheni kabisa.
 
Sio ile Id ya 47 sijui nini
Sio,yule jamaa alishakiri na kuanika mambo hadharani japo hakutaja wahusika.
Anajiita 47pro na sasa hivi kasilimu anajichukulia toto la Kiislam soon.

Thread kama hizi namiss zile za lara 1 za Autobiography.
Nilifanya kazi nzito sana na detective mwenzangu Steph Curry hadi tukawajua wahusika wote....
 
Teh teh alikiri nini kwamba ni mwanaume ?? Sababu za kujifanya mwanamke alisema ni zipi ?? Hahaha sawa bana detective kwa kweli hapo sina la kukataa kwa sababu mwanamke akiamua kuchunguza jambo walahi hata CIA hawaoni ndani ,hicho kipaji mmezaliwa nacho
 
Dogo una vinasaba vya ushoga jiangalie, utaanza kuvaa bikini na kujipodoa kama wanawake kwa kupenda mambo ya kike
 
Daaaah,broda ina maana ya huyo jamaa yalikupita?
Sio mbaya,take it from me,ndivyo ilivyokuwa.

Naam,nami nikiwemo
Nikiamua kuchunguza jambo halinishindi aiseee.
 
Hahahahaaa umeona eeh?
Ngoja nimuwahi PM mwenzangu..
Huu ubuyu mzito.

Eeh Mungu saidia babe asiwe kwenye list,maana hawa wanaume nao sio kabisa.

akikitumia nami usinisahau,maana ni shigidaaaaa, sipati picha hayo majinaaa huu ubuyu WA motoooo
 
Daaaah,broda ina maana ya huyo jamaa yalikupita?
Sio mbaya,take it from me,ndivyo ilivyokuwa.

Naam,nami nikiwemo
Nikiamua kuchunguza jambo halinishindi aiseee.
Dah yalinipita aisee mara ya mwisho namwona kwenye ile thread yake sijui kwanini wanaume wanapenda kutongoza ,nikamwambia na wasiwasi wewe ni mwanaume hakujibu akapotea ,
Yeah sina tatizo kabisa na wewe nakuamini sista ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…